Girls born in 1990

Girls born in 1990

damn!! i never imagined you are still at that fresh age! been thinking you are just another old cargo Saint anne [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Ulinikadiria mingapi?
I'm too young my dear
 
Hahahaha daah umenichekesha sana. Nitarelax vipi kama mtongozaji hajiamini.
Miguu iliyopo kwenye avatar ni yako?. Nimetumia zaidi ya dakika 10 naichunguza. Hakina unafaa kuwekwa ndani mrembo wewe.
Dahhh. Mrembo karibu tuanzishe safari mpya ya mahaba
 
damn!! i never imagined you are still at that fresh age! been thinking you are just another old cargo Saint anne [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Kwahiyo sisi old cargo tuna comment wapi
 
Hahahaha. Ndiyo maisha hayo. You enjoy for two years kisha mnaachana. Unajua mapezi yananoga mwanzo tu, kulazimishana milele hiyo ilikuwa ya babu zetu.
Umeona eeeh. Yani kwa miguu tu nshakua nafaa kuekwa ndani. Bado ataona jicho la mwingine ataona anafaa kuekwa.

Baada ya siku mbili miguu aliyoona mizuri anaiona kama fimbo za kuchapia watoto chekecheka. Ndoa inaanza kua ndoano.
 
Back
Top Bottom