Girls born in 1990

Girls born in 1990

Wakifika huo umri hutongozi ukimshika tu tayari
 
meno pause nayo ni lini eti? wana mengi hawa raia yakuenda na Muda..la sivyo wanayo mbona
 
Mwanamke anayeuliza such stupid and unreasonable qn ni mpuuzi maana kwa kiasi kikubwa huwa lazima udanganywe tu.
Mpuuzi zaidi ni yule anaetaka kuwasiliana na mtu. Yani uchukie muda wangu tuwe tunachat unanipigia simu tuongee sio kazi sio biashara na hutaki kusema umepata wapi namba angu. Mimi huyu kwangu ni mpuuzi grade A. Na huwa sitoi hata dk moja yangu. Kama miaka inajongea na iende tu.
 
Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.
Mi huwa naingia na gia ya kumtafuta mtu nilishapewa namba na washkj zangu swali ilo nililipangua vyema ila msichana anakua na wasiwasi bado ila nilifanikiwa,maana walinipa kwa lengo ka kuwapima ao wasichana
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele namba ya simu sio ishu tena.

Yaani mtu anaweza kupata namba yako ya simu muda wowote atakaoitaka.
Ndio uwe tayari kusem ulipopata. Kwani kuna ugumu gani. Namba angu sijaibandikia matangazo leo nipokee tu simu mtu anauliza salam zisizo isha like mambo, vipi, shwari, mzima hufiki kwenye lengo then nisiulize namba yangu umetoa wapi. Nitakua punguani
 
Wadada msipende kuuliza hilo swali bana,kwani mtu mpaka kapata namba yako weye hujui nn anataka/tafta kwako??
Sasa mimi nitajuaje anataka nini kwangu? Watu wengi nisiowajua wananitafuta kwa sababu mbali mbali sasa kwanini nisiwaulize namba yangu wameitoa wapi?
 
SIO MBAYA DADA ZANGU ,KAMA MKIFIKA UMRI HUO NA BADO ,HAMJA BADILI MAJINA YENU YA BABA ZENU ,

YOU JUST TAFUTA HONEST MALE FRIEND HATA KAMA HAJAOA ,THEN KAA NAE UMWAMBIE , "YOU NEED TO START YOUR LEGACY ,BY BEARING A CHILD THROUGH PAIN"
THEN ATAKUELEWA
 
Ongeeni sana ila tatizolenu lipo pale pale hadi mtakapo acha kuuliza maswali ya Kimang'aa
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom