mimiks
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,416
- 2,798
Ng'ombe toka lini akazeeka maini. Mwanamke kama pipi anazeeka na utamu wake.Zinazeeka
Ng'ombe toka lini akazeeka maini. Mwanamke kama pipi anazeeka na utamu wake.Zinazeeka
Mpya za Nini boss?leo tunawatisha sio, tunawasubiri love connect kule na ID zenu mpya
..We jamaa Mungu akurehem. Namuonea huruma huyo unaesema ni mkeo. I can imagine changamoto anazopitia. Kwako wewe mke mwema ni mwenye bikra.
Nawewe unaamini hili la umri???one of the stupidest questions since the humankind started thinking.
Uzuri umuhimu wa hilo swali uko inversely proportion na umri wao.
😂😂😂😂😂 jifarijini tuMpya za Nini boss?
Endeleeni kutusubiri..
Hamtutishi kwa lolote
Mashabiki wanateseka walengwa hawana habariYani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
We jamaa Mungu akurehem. Namuonea huruma huyo unaesema ni mkeo. I can imagine changamoto anazopitia. Kwako wewe mke mwema ni mwenye bikra.
Ni kwende wapi. Nipo hapa hapa. Ubaya wa roho chafu hakuna pa kuiosha hata tukutumbukize baharini utatoka na roho yako nyeusi.
We ajuza unaandika sana banah. Comment ziwe fupi fupi.Hao marafiki wanaowapa namba huo unakuwa ni wasi wasi wao tu mbona huwa hata hatumind? Tutamind endapo pale mwanaume umepiga kwa mara ya kwanza halafu unaongea maneno ya ajabu ajabu au unatongoza siku hiyo hiyo na kuomba mzigo siku hiyo hiyo hapo ndiyo lazima tuwatafute waliowapa namba zetu na tuwaulize kwanini wamefanya hivyo
Lakini kama mtu umekuja kistaarabu haujaongea upuuzi au labda umeomba kiungwana tu tukutane sehemu tuongee vizuri sidhani kama tutachukia tena kama tukiona tumepata wanaume wanaojielewa tunaweza hata kuwashukuru hao marafiki zetu waliogawa hizo namba sasa unakuta mwanaume unataka tu kupiga na kusepa au unataka kumfanya dada wa watu mchepuko eti na wewe hautaki kuulizwa namba umetoa wapi khaa
Halafu mama michango yako mingi unaonekana mkorofimkorofi.Ngumi unaziweza kweli,!!??Au mbwembwe za kwenye keyboardHivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
![]()
Mkuu nimependa miguu kwenye avatar yako.Mpuuzi zaidi ni yule anaetaka kuwasiliana na mtu. Yani uchukie muda wangu tuwe tunachat unanipigia simu tuongee sio kazi sio biashara na hutaki kusema umepata wapi namba angu. Mimi huyu kwangu ni mpuuzi grade A. Na huwa sitoi hata dk moja yangu. Kama miaka inajongea na iende tu.
👍!👏👏👏👏Hakuna anayechelewa wala anayewahi kila mtu yupo kwenye timezone yake mwenyewe kulingana na kusudi lake hapa duniani
Mkuu mimi sijasema wanaume wafanye zinaa. Bali nasisitiza na kuhamasisha vijana wasioe Wanawake wasio na bikra.
Nafurahi kwa kuwa Kampeni hii inasambaa kwa kasi kubwa. Vijana wengi sasa wanauelewa na elimu ya umuhimu wa bikra.
Ingawa pia ninawaoneaga huruma nyie dada zangu kwa kuwa kuna kuteleza lakini ni lazima kampeni hii ilete athari kubwa kwenye akili za vijana.
Nafurahi hili linaenda sambamba Masingle Mother japo mimi huko sipo sana kutokana na huruma niliyonayo kwa watoto.
Suala la biblia au Qurani hilo lipo wazi kuwa mwanamke asiye na bikra kuolewa ni kama neema tuu. Hivyo mimi nikisema sikuoi kwani sijakuta bikra nipo sehemu safe kabisa wala sihukumiwi na sheria.
Mwanamke akijitunza mwanaume hawezi kufanya zinaa.
muonee huruma Mshikaji wako uliyemgeuza mbwa kula makombo.
Unajua sifa za Mke mwema Mkuu??
NdioUlitaka nihuzunike?
Haya yote ungesema tu kuwa ni mitazamo yako binafsi na siyo kumsingizia Mungu unadhani wewe unavyowaona wanawake wasio mabikira ndivyo Mungu naye anavyowaona? Pole kama ndivyo unavyojidanganya!Roho mbaya ni kumpa mwenzako makombo wakati chakula kilikuwa fresh kutoka jikoni.
Walahi mimi huwezi nilisha uchafu. Kwanza ukivua tuu lazima nihisi kichefu chefu
Sawa DadaWe ajuza unaandika sana banah. Comment ziwe fupi fupi.
Mbona umepanick hivyo. Usinibadili jinsia. Mimi mwanaume. Wewe linakuumiza nini kama suala halikuhusu la umri huo. Umeshapaa kinoma kwenye hii thread trying to reply anybody who is against you.Sawa Dada
Mimi wa 88 nikachukue jitu la 90 la kazi gani? Keshakuwa bibi huyo kwangu. Wangu wa 95