Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Pilipili wasiyoila sijui yawawashia Nini[emoji3][emoji3].Unaumia?
Wanaumia sana
Pilipili wasiyoila sijui yawawashia Nini[emoji3][emoji3].Unaumia?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]Kiiruu ndo umejua leo? Pole mwaya mbona watu wengi wanajua na mimi mwenyewe ndiyo niliwataarifu kuwa nimebadili ID au ulitaka hadi nikuombe wewe ruhusa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee wewe dada utavunja mbavu zanguSasa kuwa Airport kwenda Mwanza inahusiana nini na kutafuta pesa?
Kwahiyo mtu akishakuwa Airport tu anaenda Mwanza basi tuhitimishe kuwa anatafuta pesa?
Nitaolewa muda ukifikaUshaolewa?
Sio Sana lakini[emoji3]Wewe ni katoto hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Pole sio ya kwangu[emoji23]
Nimesitisha processSio Sana lakini[emoji3]
Process gani umesitisha?Nimesitisha process
[emoji2][emoji2][emoji2088][emoji2088][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee wewe dada utavunja mbavu zangu
Umeona eeeh. Yani kwa miguu tu nshakua nafaa kuekwa ndani. Bado ataona jicho la mwingine ataona anafaa kuekwa.
Baada ya siku mbili miguu aliyoona mizuri anaiona kama fimbo za kuchapia watoto chekecheka. Ndoa inaanza kua ndoano.
Wacha WeeMarianah nawe umefika kunitesa. Kama ndoa zivunjike tu.
Hahahaha. Ndiyo maisha hayo. You enjoy for two years kisha mnaachana. Unajua mapezi yananoga mwanzo tu, kulazimishana milele hiyo ilikuwa ya babu zetu.
Kwahiyo sisi old cargo tuna comment wapi
Hili swali sitoacha kuuliza hata law ya diminishing marginal return inikute[emoji3]suburini kwanza tumalizane na hawa fresh commodities akina Saint Anne ambao ndio wanasumbua na hili swali la “namba angu umeipataje”?
Tukimaliza tunawaita na nyie mje mcomment maana nyie hamna jipya na tayari mmeshaanza kua undergo Diminishing marginal return[emoji12][emoji12][emoji12] graph yenu imeshaanza kuporomoka[emoji410]hata mfanye nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama ni hivyo watu wanaoana ili iweje?
Wacha Wee
Kiukweli kuna wanaume wapuuzi wapo wengi tu. Yani mpaka unaulizwa hilo swali jua wewe ni mpuuzi. Wanaume inabidi mjitahidi kwenda extra miles kunasa warembo. Sasa tatizo wanawake wengi katika jamii zetu wako desperate basi hawana hata standards. Ndio maana wanaume nao wanajikuta wanaulizwa hilo swali.suburini kwanza tumalizane na hawa fresh commodities akina Saint Anne ambao ndio wanasumbua na hili swali la “namba angu umeipataje”?
Tukimaliza tunawaita na nyie mje mcomment maana nyie hamna jipya na tayari mmeshaanza kua undergo Diminishing marginal return[emoji12][emoji12][emoji12] graph yenu imeshaanza kuporomoka[emoji410]hata mfanye nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili swali sitoacha kuuliza hata law ya diminishing marginal return inikute[emoji3]
Na nikimuona mtu tangu mwanzo anajikanyaga kanyaga haongei vizuri sirespond Tena msg zake
Kiukweli kuna wanaume wapuuzi wapo wengi tu. Yani mpaka unaulizwa hilo swali jua wewe ni mpuuzi. Wanaume inabidi mjitahidi kwenda extra miles kunasa warembo. Sasa tatizo wanawake wengi katika jamii zetu wako desperate basi hawana hata standards. Ndio maana wanaume nao wanajikuta wanaulizwa hilo swali.
Ila kiuhalisia mwanaume anaejielewa na amelenga kuchukua mke hata kama namba katoa anapojua yeye. Hatokumbana na hilo swali maana atakua amefanya research yake ya kutosha kuhusu huyo bidada. Pili kama atakutana na hilo swali ataweza kulijibu vizuri bila athari kwa pande zote mbili.