Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,291
- 33,604
Msongo wa mawazo wakati umri unayoyoma huku ndoa hamnaChamoto kipi?
Msongo wa mawazo wakati umri unayoyoma huku ndoa hamnaChamoto kipi?
Subiri ukifika utapata majibu mubasharakwani tukifika 30 tutakufa?
Kwani ni kweli umeokoka ?kuokoka kunahusika vipi na menostop



nigga take it easy nikuulize wewe ambaye ni wa 88 na una wa kwako wa 95 halafu unajaa upepo eti kwanini unaulizwa hilo swali na wa 90 wakati umeshasema hauwezi kuwachukua sasa si uachane nao ubaki na huyo wa kwako wa 95 wewe kinachokufanya uendelee kuwatafuta wengine ni kipi boy are you for real


Mbona umepanick hivyo. Usinibadili jinsia. Mimi mwanaume. Wewe linakuumiza nini kama suala halikuhusu la umri huo. Umeshapaa kinoma kwenye hii thread trying to reply anybody who is against you.
Sisi wanaume inatuhusu...sababu sisi ndio waowaji. Na ndio maana nikabandika hapo kathread.
Wewe je?
Ni kweli nimeokokaKwani ni kweli umeokoka ?
maana kwa hicho kicheko , I can relate.
BabyHehe JF bwana wewe kuna siku si ulisema wa kwako kazaliwa 1998 na kwamba wewe umemzidi miaka 10 teh teh
Hebu nipe basi namba yako binti mremboKama unataka kutengeneza uaminifu huku unapokuja lazima utaje ulipotoa namba.
Sio kuwa sensitive, kawaida tu kuna watu wameumbwa hivyo huwa wanatunza kumbukumbu sanaBaby
upo so sensitive kukariri comments za watu. I guess something is wrong somewhere.
Hii ni kaliI'm talking to you sisters. Next year you'll be 30. Stop your stupid questions as to where did you get my number. Don't say you were not warned. 4 months left. ContinueView attachment 1174475
BabyWala usijali ngoja nikupe mimi mwenyewe haya hizi hapa 0754771937 nipo Whatsapp nitafute
Nukuu za kutoa faraja ili maisha yaendelee na wapiga kura wa CCM wabaki kuwa hai.Msiwatishe!View attachment 1175387
![]()
tupeni break... Age is just a number
![]()
![]()
Baby
kwanini unagawa namba zako ovyo kama kadi za CCM?
Waambie Baby. Au niongezea sauti ?Peter Okoye wa P Square siku anakutana kwa mara ya kwanza na mke wake wa sasa Lola Omotayo alimuomba namba mwanamke akamwambia hampi na kama kweli ana shida na namba yake basi ataitafuta kokote anakojua na ataipata tu na kweli mwanaume aliitafuta na akaipata na mahusiano yakaanzia hapo
Hivi sasa wana miaka zaidi ya 10 ya uchumba na miaka zaidi ya 06 ya ndoa mimi mwenyewe huyu aliyenioa alinipata kwa style hiyo hiyo ya kuniomba namba na kumkatalia aliitafuta hadi akaipata na siku aliyonitafuta alijitambulisha na nilimuuliza namba yangu kaitoa wapi
Alinijibu na tukaanza kuwa marafiki kisha wapenzi na kisha wanandoa na hivi sasa ninavyoandika tuna miaka 15 ya uchumba na miaka 11 ya ndoa na kabla ya kuolewa hilo swali nilishawauliza wanaume wengi tu na ilinisaidia kumpata aliyenipenda kweli maana wale ambao hawakuwa na nia nilipowauliza tu hilo swali walikasirika wakakata simu wengine walinifokea wakakata simu
Ila huyu aliyekuwa na nia kwanza nilimnyima ila bado aliitafuta na akaipata sasa nawashangaa eti mtu kuulizwa hilo swali tu anahusisha na ndoa kama hautaki kujibu kata simu tafuta mwingine huyo asipoolewa wewe inakuuma nini au inakuhusu nini? Na hata hao wasiowauliza hilo swali huwa mnawaoa sasa?
Issa God given talentBaby
upo so sensitive kukariri comments za watu. I guess something is wrong somewhere.
Haka kanastress na wala hakawahi kuolewa. Mashauzi tu.