Girls born in 1990

Girls born in 1990

Hahahahha 8*8 leo mpaumziko. Akakojoe tu alale hamna jinsi

Muongezee na hii kama itamsaidia au otherwise
IMG_3144.JPG
 
Kwani kama hamuwezi kusema mlipotoa namba si mkate tu simu kila mtu aendelee na mambo yake kwani shida iko wapi? Tusichoshane bwana eti tutazeeka hatujaolewa hivi unadhani wanawake wote walioolewa hawakuwahi kuuliza hilo swali?

Au kwa vile mmeshajua kuwa wanawake wengi wa kibongo wako desperate na ndoa basi ndiyo mnatumia hiyo kauli ya kwamba hawataolewa ili waogope waache kuuliza hilo swali? Yaani wanaume wa kibongo mna mambo ya ajabu sana yaani huwa mnaishi kwa kukariri tu!
Natamani mtu anipe # zako nikutafute uniulize hilo Marianah
 
Hivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
Naomba aeleweke mtoa maada hii
In fact hakuwa amelenga kusema swala la kuulizwa umepataje namba yangu ni swali gumu au sio la msingi
Ujumbe hapa ni
Kujishongondoa kwa vibinti
Kukataa uchumba hata bila sex
Kuwa na masharti kibao dhidi ya mwanaume wa kuwa nae ambapo mala nyingi hakuna kiumbe wenye sifa zote hizo utakayempata
Na mengine kibao ya aina hiyo
 
Kwani wanaume hawajishongondoi kutaka mwanamke mwenye sifa kibao?
 
Naomba aeleweke mtoa maada hii
In fact hakuwa amelenga kusema swala la kuulizwa umepataje namba yangu ni swali gumu au sio la msingi
Ujumbe hapa ni
Kujishongondoa kwa vibinti
Kukataa uchumba hata bila sex
Kuwa na masharti kibao dhidi ya mwanaume wa kuwa nae ambapo mala nyingi hakuna kiumbe wenye sifa zote hizo utakayempata
Na mengine kibao ya aina hiyo
Mbona nyie mnachagua saana ila hatulalamiki mweeeh.....ila sisi tukimkataa mwanaume bse hatujaridhika naye mnasema tunaringa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom