Optimus_Prime
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 137
- 286
Asee sijawahi kushindwa hilo swali if I really need you. In case I get to know you and I can't manage to capture your number from yourself....i will find it somewhere else na jibu ntakupa nilikoipata.
Sometimes wanaotupa namba wanasema "please usinitaje" sasa mnataka tuvunje uaminifu?
hili swali ni la kimataifa tena makubwa makubwa

miaka 30+ ndo mida sahihi ya kuwapa nambaNamba umepataaahata ukiwa na 80 nipe tuu nishaoza mie bado kuzikwa![]()
At least leo nimekuelewa.Peter Okoye wa P Square siku anakutakana kwa mara ya kwanza na mke wake wa sasa Lola Omotayo alimuomba namba mwanamke akamwambia hampi na kama kweli ana shida na namba yake basi ataitafuta kokote anakojua na ataipata tu na kweli mwanaume aliitafuta na akaipata na mahusiano yakaanzia hapo
Hivi sasa wana miaka zaidi ya 10 ya uchumba na miaka zaidi ya 06 ya ndoa mimi mwenyewe huyu aliyenioa alinipata kwa style hiyo hiyo ya kuniomba namba na kumkatalia aliitafuta hadi akaipata na siku aliyonitafuta alijitambulisha na nilimuuliza namba yangu kaitoa wapi
Alinijibu na tukaanza kuwa marafiki kisha wapenzi na kisha wanandoa na hivi sasa ninavyoandika tuna miaka 15 ya uchumba na miaka 11 ya ndoa na kabla ya kuolewa hilo swali nilishawauliza wanaume wengi tu na ilinisaidia kumpata aliyenipenda kweli maana wale ambao hawakuwa na nia nilipowauliza tu hilo swali walikasirika wakakata simu wengine walinifokea wakakata simu
Ila huyu aliyekuwa na nia kwanza nilimnyima ila bado aliitafuta na akaipata sasa nawashangaa eti mtu kuulizwa hilo swali tu anahusisha na ndoa kama hautaki kujibu kata simu tafuta mwingine huyo asipoolewa wewe inakuuma nini au inakuhusu nini? Na hata hao wasiowauliza hilo swali huwa mnawaoa sasa?
Kuna yule rafiki yako unayemuamini sana ndio kanipa namba na anasema usinitaje please. Kwa hiyo 90% ya majibu ya sehemu nilikopata namba ni uongo. Nanyi mnakubali kudanganywa. Be it safe usiulize.
Mimi navyomalizana nakata simu tuKeshasema nisimtaje. Case closed. We tutamalizana ninavyojua mimi.
Haha umenielewa wapi? Ila ni maajabu!At least leo nimekuelewa.
Nimeelewa sababu ya kumuuliza mtu 'umepata wapi namba yangu'Haha umenielewa wapi? Ila ni maajabu!
Nimeelewa sababu ya kumuuliza mtu 'umepata wapi namba yangu'
One thing naamini kuolewa sio tkt ya kwenda mbinguni au kutoolewa sio kua unaenda jehanamu n mipango ya Mungu so tulizen pumbunyo

pumbunyo nini

Sioni cha kuongezeaPeter Okoye wa P Square siku anakutakana kwa mara ya kwanza na mke wake wa sasa Lola Omotayo alimuomba namba mwanamke akamwambia hampi na kama kweli ana shida na namba yake basi ataitafuta kokote anakojua na ataipata tu na kweli mwanaume aliitafuta na akaipata na mahusiano yakaanzia hapo
Hivi sasa wana miaka zaidi ya 10 ya uchumba na miaka zaidi ya 06 ya ndoa mimi mwenyewe huyu aliyenioa alinipata kwa style hiyo hiyo ya kuniomba namba na kumkatalia aliitafuta hadi akaipata na siku aliyonitafuta alijitambulisha na nilimuuliza namba yangu kaitoa wapi
Alinijibu na tukaanza kuwa marafiki kisha wapenzi na kisha wanandoa na hivi sasa ninavyoandika tuna miaka 15 ya uchumba na miaka 11 ya ndoa na kabla ya kuolewa hilo swali nilishawauliza wanaume wengi tu na ilinisaidia kumpata aliyenipenda kweli maana wale ambao hawakuwa na nia nilipowauliza tu hilo swali walikasirika wakakata simu wengine walinifokea wakakata simu
Ila huyu aliyekuwa na nia kwanza nilimnyima ila bado aliitafuta na akaipata sasa nawashangaa eti mtu kuulizwa hilo swali tu anahusisha na ndoa kama hautaki kujibu kata simu tafuta mwingine huyo asipoolewa wewe inakuuma nini au inakuhusu nini? Na hata hao wasiowauliza hilo swali huwa mnawaoa sasa?
Am 43 na bado nauliza.
Nakuwa nayo ya nini? Si ya kuwasiliana na watu wangu wa karibu na wale wanaonijua? Sasa wewe usiye mtu wangu wa karibu wala usiyenijua naachaje kukuuliza umetoa wapi namba yangu? Kwanini huwa hamuwezi kujibu hilo swali?