Girls born in 1990

Girls born in 1990

Namba kupata sio issue. One can simply say nina business card yako.....namba nayo issue. Namba yako sio issue ndio maana nimeipata.
Sasa kujibu hivyo kuna tabu gani Hadi mlalamike kuulizwa hilo swali?
 
Hilo swali niliulizwa jana...

Nikamjibu " Let's not debate on where i got your #"

Mtoto akaelewa na maisha yanaendelea sasa.

Kila mtu ajibu kulingana na hali yake
Sasa hilo siyo jibu tunahitaji majibu mmetoa wapi number zetu na siyo blah blah
 
Hatuoni ni swali gumu, ni swali la kipuuzi. Mpaka nakupigia unadhani nimekosea namba? We jua tu kuna mahali nimeipata, and on later days ntakwambia niliipata wapi?

Namba yangu umepata wapi? Kwani namba yako unayo wewe mwenyewe tu?
Sasa si ndio mseme tujue? Jamani!
 
Swali la kijinga. We unadhani namba yako unayo peke yako tu?
Ndiyo sinayo mimi peke yangu lakini pia hanayo mtu mmoja wanayo watu wengi sasa si ndiyo uniambie kati ya hao ni yupi kakupa? Khee!
 
Mpuuzi zaidi ni yule anaetaka kuwasiliana na mtu. Yani uchukie muda wangu tuwe tunachat unanipigia simu tuongee sio kazi sio biashara na hutaki kusema umepata wapi namba angu. Mimi huyu kwangu ni mpuuzi grade A. Na huwa sitoi hata dk moja yangu. Kama miaka inajongea na iende tu.
 
Kwani kama hamuwezi kusema mlipotoa namba si mkate tu simu kila mtu aendelee na mambo yake kwani shida iko wapi? Tusichoshane bwana eti tutazeeka hatujaolewa hivi unadhani wanawake wote walioolewa hawakuwahi kuuliza hilo swali?

Au kwa vile mmeshajua kuwa wanawake wengi wa kibongo wako desperate na ndoa basi ndiyo mnatumia hiyo kauli ya kwamba hawataolewa ili waogope waache kuuliza hilo swali? Yaani wanaume wa kibongo mna mambo ya ajabu sana yaani huwa mnaishi kwa kukariri tu!
Sio kazi sio biashara wakati nakukaribisha dinner nikutongoze? Unataka biashara gani? Mimi nikishajitambulisha inatosha. Mambo ya namba yako nimepata wapi, we unadhani nitakuwa nimeipata wapi? Damn
 
Ongeza na hizi asee.....
FB_IMG_1563892886313.jpeg
105904063.jpeg
 
Kwani kama hamuwezi kusema mlipotoa namba si mkate tu simu kila mtu aendelee na mambo yake kwani shida iko wapi? Tusichoshane bwana eti tutazeeka hatujaolewa hivi unadhani wanawake wote walioolewa hawakuwahi kuuliza hilo swali?

Au kwa vile mmeshajua kuwa wanawake wengi wa kibongo wako desperate na ndoa basi ndiyo mnatumia hiyo kauli ya kwamba hawataolewa ili waogope waache kuuliza hilo swali? Yaani wanaume wa kibongo mna mambo ya ajabu sana yaani huwa mnaishi kwa kukariri tu!
Sister mbona umepanick? We endelea kukua. Sisi tunadate na wenzenu wa 1995 kuja huu huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom