Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mbona nyie mnachagua saana ila hatulalamiki mweeeh.....ila sisi tukimkataa mwanaume bse hatujaridhika naye mnasema tunaringa![]()
Jamani hebu someni teba bandiko langu na hiyo picha. Stupid questions zipo nyingi huo wa namba umetolewa mfano tu. Na vijimaringo vingine mlivyo navyo.Naomba aeleweke mtoa maada hii
In fact hakuwa amelenga kusema swala la kuulizwa umepataje namba yangu ni swali gumu au sio la msingi
Ujumbe hapa ni
Kujishongondoa kwa vibinti
Kukataa uchumba hata bila sex
Kuwa na masharti kibao dhidi ya mwanaume wa kuwa nae ambapo mala nyingi hakuna kiumbe wenye sifa zote hizo utakayempata
Na mengine kibao ya aina hiyo
Hahaha mi sina umasikini wowote. Kama hiyo haitouch we kinakuuma nini?Mada kama hizi huletwa na wanaume maskini.
Mna maneno mengi na lawama tele kila kukicha.
Mbona wanawake wana washughulisha sana kwani umri wao ukienda wewe kinachokuuma nini?
Asee sijawahi kushindwa hilo swali if I really need you. In case I get to know you and I can't manage to capture your number from yourself....i will find it somewhere else na jibu ntakupa nilikoipata.Ninayo mimi na watu wangu wa karibu. Sasa wewe sema ulipoitoa wapi. Hutaki kakojoe ulale. Wapo wanaokesea namba pia kwani hujawahi kuona au kusikia.
Kama unataka kutengeneza uaminifu huku unapokuja lazima utaje ulipotoa namba.Asee sijawahi kushindwa hilo swali if I really need you. In case I get to know you and I can't manage to capture your number from yourself....i will find it somewhere else na jibu ntakupa nilikoipata.
Sometimes wanaotupa namba wanasema "please usinitaje" sasa mnataka tuvunje uaminifu?
Hamna rafiki unaemuamini wa hivo. Rafiki mwanaminifu atakuuliza mwenyewe kuna jamaa anaomba yako nimpe. Yani kwamba hilo jamaa likikutafuta hamna suprise ulishaambiwa. Mtu anaetoa namba afu hatakai ajulikane atakua ni mshikaji tu sio rafikiKuna yule rafiki yako unayemuamini sana ndio kanipa namba na anasema usinitaje please. Kwa hiyo 90% ya majibu ya sehemu nilikopata namba ni uongo. Nanyi mnakubali kudanganywa. Be it safe usiulize.
Hii ni kujifariji tu.Msiwatishe!View attachment 1175387
😀😀😀sawatayari nimeshampa asipate shida
Nikupe sasa hivi au nisubiri nifike 30 kwanza?







hili swali ni la kimataifa tena makubwa makubwahata ukiwa na 80 nipe tuu nishaoza mie bado kuzikwa 😍😍Nikupe sasa hivi au nisubiri nifike 30 kwanza?
Mbona wanaume pia mko too selective ila wanawake hatulalamiki? Tena huwa mnataja sifa utafikiri mnataka oa malaika!Jamani hebu someni teba bandiko langu na hiyo picha. Stupid questions zipo nyingi huo wa namba umetolewa mfano tu. Na vijimaringo vingine mlivyo navyo.
Sasa isiwe topic kuwa namba ndio issue ya kujadili. Acheni maringo, being too selective, vijitabia vya ajabu ajabu umri hauwangoji ndicho ninanchomaanisha.
Hahaha mi sina umasikini wowote. Kama hiyo haitouch we kinakuuma nini?