jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,245
- 12,762
Chakula vinywaji 30,000 yani hapo mtakuwa mmekula kwa kujibana sana. Kuna demu ukimtoa yaani ule muda mmekaa tu kusubiri msosi ameshamaliza savana 2.
Mpaka muda wa kuondoka ameshakunywa hata 6 hapo ni 30000 ,ongeza na vinywaji utakavyo kunywa wewe. Chakula hapo ni majanga
Mpaka muda wa kuondoka ameshakunywa hata 6 hapo ni 30000 ,ongeza na vinywaji utakavyo kunywa wewe. Chakula hapo ni majanga