ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,493
- 119,282
Kama mnaspend hiyo sio hela, kula na kunywa inaweza kufika hata 100k ni nyie tu na mazingira, wapo wanaotumia 10-50k tu, kiepe kuku x2 10k, bia 3x2 12k, nauli 10k, lodge 20k, asante 20k, jumla 72kHata Mimi nimeshangaa, kweli kula na Kunywa ni 30,000 tu?Watu wawili??? Usafiri 10,000? Boda boda ya wapi hiyo kwenda na kurudi Mkuu?
Haya mambo ni vile wewe unataka tu.