Gharama za kutoka na Mchepuko

Gharama za kutoka na Mchepuko

Nikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu

I see being a man is tough
Ungeweza si unataka utelezi 😹😹
 
Kila mtu hufanya mapenzi kulingana na hadhi yake ya kiuchumi, mtu mwenye mpunga mrefu hupata mademu wa mipunga mirefu. Kila mtu kwa hali yake ana mademu wa hali yake kumpa penzi. Masikini wanakula masikini wenzao na matajiri wanakula matajiri wenzao, mastaa wanakulana wenyewe kwa wenyewe. Ila siku hizi kupata penzi la bure ni shughuli pevu. Zamani penzi lilitolewa kwa kigezo cha kuwa na uwezo wa kuchakata mbunye vema, mtulinga ulioshiba na kujaa mbunyeni vizuri ila siku hizi mademu wanaangalia hela tu hata kama una mtulinga dhaifu usiojaa mbunyeni vema, anachotaka demu ni hela tu
Nchi ngumu sana hii 😹😹
 
Wa kutoa shukurani ni mchepuko au ni wewe ?

Wewe ndio umeomba starehe, wewe ndio uli mwaproach. umelipia huduma, akushukuru kwa lipi, ugali wa lodge?

Amekaa kimaslahi. Wewe ndio umefata maslahi ya ngono. Yeye hajakufata umpe maslahi!

We ulitaka umlale bure bure akijua kabisa uhusiano hauna mbele wala nyuma, halafu yeye ndio akwambie wewe ahsante ? Hata sex slave hatoi ahsante. Asante umemjengea, au asante akupe ya wewe kumlala yeye? ?
Igweeeeeeeeeeeeeeee..! 🫡

Umemaliza mkuu nimekupenda ghafla siwezi kuishi bila wewe 😹😹😹
 
Naona umecomment kwa hasira mpaka umecomment mara mbili!

Comment yangu haikubase tu kwenye hela unazolipa after sex

Kuna watu wametekwa na hii michepuko mpaka wametelekeza familia zao,hawa ndio niliowaongelea mimi,
Unakuta mtu mpaka anamjengea Nyumba mchepuko au kumfungulia biashara huku familia yake ikiteseka.
Jirani kweli platinum inaipa heshima yake, hutaki ugomvi kabisa 😹😹
 
Mbona kupata penzi ni ghali hivyo, Au inategemeana na demu yukoje? Maana kuna mademu wa madaraja tofauti kutokana na unavyojiona una hadhi gani. Wapo mademu ni pisi kali high class nadhani hawa ndio wa bei ghali. The rest ni mademu wenye quality ndogo unaweza kuwapata kwa bei ndogo. Kuna mademu wana hali mbaya kiuchumi hata buku tano wanachukua na utamnyandulia getoni bila hata kumpa maji. Ukishuka mpaka baa za mataputapu unapata mademu mpaka wa jero na unajilia mapagarani, uchochoroni, mtaroni na kichakani. Mtu hula demu kutokana na alivyo sawa na mademu wa status yake
Kiongozi unaonekana unakula sana vibudu 😹😹😹
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Hizo savanha 6 pichani 30k ishaisha, bado chakula cha wawili..
 
Imagine unanunua dhambi kwa sh 120000 na bado unausubili mshahara wake ambao ni mauti.Tunapasa kuisikia sauti ya Mungu ikituonya
 
Asante kwa kuja unampa 10000, pamoja na nauli ya boda kwenda na kurudi guest 10000, vinywaji ,2000, kula Kila mmoja kala kwake.
 
1️⃣Lodge = 15,000/=
2️⃣Naul (go & return) = 10,000/=
3️⃣Chakula whole day = 20,000/=
4️⃣Asante kwa game. = 30,000/=
5️⃣Other Sunk Cost..!! = 15,000/=

TOTAL = 90,000=

Hii ni kwa uchumi wa kati hasa maisha ya Dar..

Follow Mwanza Boe
 
1️⃣Lodge = 15,000/=
2️⃣Naul (go & return) = 10,000/=
3️⃣Chakula whole day = 20,000/=
4️⃣Asante kwa game. = 30,000/=
5️⃣Other Sunk Cost..!! = 15,000/=

TOTAL = 90,000=

Hii ni kwa uchumi wa kati hasa maisha ya Dar..

Follow Mwanza Boe
Lodge ya 15000 Iko class ya chini, lodge nzuri ni kuanzia 30000/-
Asante kwa game 30000? Pesa ndogo sana hapo inatakiwa iwe kuanzia 70000/
 
Back
Top Bottom