Toka nje ya nyumba Donnah msije angukiwa na vitu... poleni sana na tunawaombea
Aisee tumuombe Mungu hali ni mbaya kwa kweli.
Kweli hatuna viongozi, yaani yeye ni mhusika lakini hajui kinachoendelea!Clouds FM wamempigia simu waziri wa ulinzi HUSEIN MWINYI anasema hana taarifa!!!!!!!!1 Anaishi wapi?
Clouds FM wamempigia simu waziri wa ulinzi HUSEIN MWINYI anasema hana taarifa!!!!!!!!1 Anaishi wapi?
jamani, kuna kipande cha bomu kimeingia ndani ya uzio wangu, nimechanganyikiwa hata kukimbia nimeshindwa maana ntaibiwa kila kitu
Clouds FM wamempigia simu waziri wa ulinzi HUSEIN MWINYI anasema hana taarifa!!!!!!!!1 Anaishi wapi?
Eti waende mabondeni!Matangazo yanaendelea kutolewa TBC na ITV watu waondoke majumbani kwa kuwa haijulikani milipuko itaisha sa ngapi
QN: Waondoke waende wapi?
mkuu ... hizi ni nini ..au unaongea huku unakimbia mabomu
we bwan kwan uko wap?km haupo bongo bas bongo yote mtikisiko
nyumba teteme teteme
Hiyo ni main storage ya vifaa vya jwtz na tabia ya kulipuka mabomu stoo ni kwamba linaanza moja linaambukiza jingine kwa hy hapo ni kwamba hadi yaishe yote na joto lipungue ndo usalama. Vingenevyo yataendelea kulipuka hadi yaishe. Nasikitika hapo kuna mali za mabilioni za jeshi hadi magari yote ya akiba yanayowekwa kwa ajili ya emergency. Uzembe umezidi sana hii nchi jamani loh!
Duu hatari huko maana twasikia mshindo huku morogoro kama radi cjuwi huko sasa.