Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,199
Soma mchango namba 76 hapo juu; wewe vipi, mbona unaziba pua????Hisije ikawa kama Mbagala sijui hata kama walilipwa!
Soma mchango namba 76 hapo juu; wewe vipi, mbona unaziba pua????Hisije ikawa kama Mbagala sijui hata kama walilipwa!
Nini tena bongo? Utashangaa badala ya kudeal na chanzo halisi serikali ya ccm itasema cdm ndo wamesababisha!
Tigo network kishney.akuna ata bar moja
....duh,,,Mungu atuepushe na balaa hili!!Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi....
Taarifa zaidi kufuatia.
UPDATES:
Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo!
Nashauri jeshi letu lisijiingize ktk military propaganda zitakazolishinda kuzidhibiti. Kinaweza kuwa kitisho kwa wanaodiriki kufanya mandamano uraiani. It could be!
... one of the Greatest Thinkers in the right direction. Soma pia mchango namba 76.Nashauri jeshi letu lisijiingize ktk military propaganda zitakazolishinda kuzidhibiti. Kinaweza kuwa kitisho kwa wanaodiriki kufanya mandamano uraiani. It could be!
Mbona hayaishi jamani, nyumba yangu iko hatarini watoto wanalia. Ni mazito mno
Pole sana Mkuu labda toka nje ya nyumba msije angukiwa na vitu...
Nawashukuru sana wana jf kwa kutuhaarisha na hizi reaking newa vinginevyo tungesubiri hadi kesho ndo tujuzwe!