Ahahahaaah! JF bwana hadi kwenye ishu hii mnaleta utani...mkuu ... hizi ni nini ..au unaongea huku unakimbia mabomu
Au jamaa wanataka kupindua "serikali" nini!
we bwan kwan uko wap?km haupo bongo bas bongo yote mtikisikoTupe hata hizo habari ndogo ulizonazo ...
sababu ni nini?
wewe umesikia wapi?
please anything...
Toka nje ya nyumba Donnah msije angukiwa na vitu... poleni sana na tunawaombeaJamani mpaka huku masaki milipuko inasikika na nyumba. Zinatingishika. Bado yanaendelea mbona hivi
Poleni Sana Rose..., hii sasa balaa tupuwe bwan kwan uko wap?km haupo bongo bas bongo yote mtikisiko
nyumba teteme teteme
Jamani mpaka huku masaki milipuko inasikika na nyumba. Zinatingishika. Bado yanaendelea mbona hivi