Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Acha nimemsikia nikatamani niipasue hii redio kwa kweli!! Mungu tuifadhali na utuponye na mabomu haya!!
Jamani nimemsikia kama kasema bado wanatafuta taarifa hajasema hana taarifa........nadhani anaogopa kusema kitu kisicho sahihi au?
 
Nina ndugu yangu yupo Msimbazi, anasema mitikisiko ya mabomu inasikika mpaka huko.

Nilifikiri ile ya Mbagala ilitupa funzo, kumbe hapana. Tunaweza kupoteza waTz wenzetu kwa majanga yanayo weza kuzuilika.
 
Kuna picha zozote huko?

Hakuna aliyefanikiwa kufika eneo la tukio hadi sasa hivi, kuna jamaa wa Redio one wanasema wako njiani kuelekea huko labda tuwasubiri. Lakini hali ni mbaya kwa kuisikia tu huku mbali hivi!!
 
hali kwa ujumla wake sio nzuri, maeneo ninayo ishi hakuna mtu yeyote aliye ndani ya nyumba,wananchi wapo ''upset''. so sad
 
Watu wamelala nyuma ya nyumba zao hapakaliki kabisa na inasemekana ni mabomu ya masafa marefu! Hii ni balaa mungu atunusuru
 
jamani jamani....take care dear....usije ukaharibika.....nasikia hata huko mitaani hakufai....jam ni ya kufa mtu....ooooh noooo.....Mungu aturehemu Watanzania

thax dear
dk i kimya kdg inadondoka moja moja....si puuu puuuu
 
wakazi wa maeneo hayo wanashauriwa kuondoka huko ......so salama tena
 
Shimbo amethibitisha kutokea kwa milipuko ya mabomu huko gombs kwenye kambi ya jeshi,ghala no 5 la silaha.Amewaomba wanaoishi jirani wahame kwani hali ni mbaya.SOURCE TBC TAIFA.
Sasa wahame tu au serikali inafanya nini kusaidia kuwaondoa hapo ???
Hii nchi full usanii na viongozi (sorry watawala) wetu hawana maana...
 
Jamani nimemsikia kama kasema bado wanatafuta taarifa hajasema hana taarifa........nadhani anaogopa kusema kitu kisicho sahihi au?

Ni kweli MJ11 lakini kama mtu ambaye anategemewa kusema neno la matumaini. Jibu hilo halifurahishi hata kama lipo nje ya uwezo wake!!
 
Back
Top Bottom