Duuu mi nipo Salasala nasikia sauti na moto nauona utadhani transforma linawaka. Waombaji kazaneni kuomba Mungu atunusuru.
jeshi linaweza kuwajibishwa vizuri sana-sema sisi watz tumeshajijengea woga,na kuona wanajesh as if ni watu ambao hakuna mtu ambae anaweza kuwahoji kitu chochote kile-but its possible to do so-lazima watupe sababu yenye maana ya kulipuka hayo mabomualoo....sasa hivi yanalia mabomu makubwa makubwa ....nipo mikocheni lakini noma....watu wawajibishwe kwa kweli.....ila nani ana ubavu wa kuwajibisha jeshi.
Poleni Sana Rose..., hii sasa balaa tupu
Poleni sana ndugu zangu. Mungu ahepushe mbali. Lakini mi sishangai kama askari wanatunza silaha katikati ya makazi ya watu, tunategemea nini??
Bora ushuke urudi ndani ya nyumba mnazi ukikudondosha!shost nakwambia kipande cha kinondon apa imenibd nipande juu ya mnaz manake nyumba inavyoshake b4 use haifai...labda apa ju ya mbuyu ntasalimika manake aka kajumba kanaweza kuslip dwn any sec from nw
Mkuu hayo hayawezi kujulikana sasa hivi sababu milipuko bado inaendelea as we speak... hayo labda tutajua keshoHakuna maafa yoyote kwa mlio jirani, majeruhi au vifo!
Hivi mpaka wafe wangapi ndio wataacha kuhifadhi mabomu karibu na nyumba za watu???? Kutenda kosa sio kosa lakini kurudia kosa ni kosa. Lazima watu wawajibike safari hii.
sasa hivi inakaribia saa nzima...haya mabomu hayaishi.....mi sielewi kwa nini linalipuka mojamoja.....kwa nini yasilipuke yote kwa pamoja?
Soma mchango namba 76 hapo juu; wewe vipi, mbona unaziba pua????