Jituoriginal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 349
- 32
ghala la mabomu kambi ya jeshi gongo imelipuka.soure ninashuhudia live.
Better be careful with ur words. Sidhani kama walio vitani walitamani au walihitaji kutumia stock ya silaha zao.Hii nchi inabidi tupigane vita ya wenyewe kwa wenyewe ili haya mabomu yapate matumizi..... Hivi jeshi la wananchi linafanya nini?
CCM watakua wamejipakulia silaha idadi gani kabla ya kuwasha ghala yetu moto??Milipuko ipo na inasemekana inatoka katika maeneo ya kambi za jeshi, source tbc taifa radio imetangazwa sasa hivi saa 3.02 usiku huu.