Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

There are currently 1684 users browsing this thread. (320 members and 1364 guests)

Hii rekodi kwa usiku mwingi namna hii ni mara chache kufikiwa!...BTW, waombolezaji na waathirika wengineo, tuko pamoja na nyinyi...hatulali, hadi mrudi majumbani kwenu salama!

kweli mkuu ucngizi hauwez kuja kwa janga kama hili, Mungu aliye hai awatie nguvu na ujasiri wahanga wote. Na awaadhibu wazembe wote kwa majipu na upele.
 
:A S 20:Kwa kweli kwa milipuko hii tena ya Gongto la Mboto ambayo inagharimu sana Roho za watanzania walala hoi na au upotevu wa mali zao nyingi, naomba nami niytoe tamko langu kwamba, Waziri mwenye dhamana ya mambo ya bani ajiuzulu haraka sana pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi hapa nchini, Ni muhimu vinginevyo sisi tutaandamana nchi nzima. Asante.
 
Big Breaking News: Explosion reported in an army amory in Dar-Tanzania

2 hours ago | Dar-es-Salaam, Tanzania | Vetting explained

60.png
Posted by:
Mwanakijiji

  • Viewed 597 times
  • Shared 52 times
  • Last updated: 1 hour ago

Edit story

CNN producer note

Mwanakijiji helped connect me with January Makamba, a member of parliament who shot this image in Dar-es-Salaam, Tanzania, on February 16. Makamba said he shot the photo from a three-story building about 20 km away from the armory. 'It's stopped. It went for probably an hour, intermittent two-minute explosions. But now it's stopped.'
- nsaidi, CNN iReport producer

iReport — There are reports flooding from Tanzania that an army armory about fifteen miles from Dar-es-Salaam is in fire following a massive explosion. The armory is near Julius Nyerere International Airport and unconfirmed reports says that the national civil aviation is diverting flights there to other airports near by. So far, no reports of injuries or fatalities has been reported.

The first reports of the inferno came around 10PM East African Time (2PM EST).

(Read More) On CNN-Ireport - please distribute the CNN's link..
 
Jirani yangu hapa pugu amekatwa mguu ametangulia mbele ya haki, ndo hawa jamaa JWTZ wamekuja kuchukua mwili wake hapa
 
TPDF nao wamechoka tu... mabomu mpaka yana expire wanayaangalia tu!!!!:twitch::twitch:
 
Jirani yangu hapa pugu amekatwa mguu ametangulia mbele ya haki, ndo hawa jamaa JWTZ wamekuja kuchukua mwili wake hapa
My neighbour's daughter!:twitch:.:twitch:...You are never serious Kinto!...Dont tell me!
:twitch:
 
Jirani yangu hapa pugu amekatwa mguu ametangulia mbele ya haki, ndo hawa jamaa JWTZ wamekuja kuchukua mwili wake hapa

Pole blaza, mungu awalaani wote wenye kusababisha haya, wengine wanadai ni uchakachuzi wa silaha, wengine wandai ni mipango ya EL na RA kufanya umafia 2015! Ah,
 
Hili ni janga kwa taifa. Still Kova anasema ni ajali tuu. Kwanza amezungumza kama nani? Ina maana hakuna msemaji wa JWTZ? Serikali yetu nayo kimya. As if nothing happened. Media yetu nayo ndio kabisaaa. How come after almost four bado hatuna taarifa za maana kutoka vyombo vyetu vya habari?
 
Nilikua nafanya Tathmini hapa...ni tofauti ya kilomita mbili kutoka ilipo kambi ya JWTZ Gongolamboto na Kikosi cha FFU Ukonga...ni tofauti ya mita 200 toka kilipo kikosi cha FFU UKONGA hadi Gereza kuu la ukonga...na funga kazi ni kikosi cha Anga Air Wing ambacho ni km km moja toka Gereza la ukonga...hofu yangu ni ukaribu wa kambi hizi ambazo sina hakika kama hapakosekani silaha za milipuko mikubwa!
 
Poleni wahanga.

Its a good thing hatuna nuclear weapons. Pangechimbika mbona. Its time to modernize the army. But, wabongo we have a love affair with mediocrity. Its about time to end the incompetence in our cultural practices.
 
Inasikitisha kuona wachangiaji wengi kwenye hii forum wakichukulia ajali iliyotokea Gongo la Mboto kisiasa.

Pamekuwa na wachangiaji wanaothubutu hata kuhusisha chama cha siasa au ufisadi na milipuko hiyo.

Si ustaarbatu kukurupuka na kutoa majumuisho yasiyo na mantiki. Kulilaumu jeshi au serikali kabla ya kujua chanzo cha milipuko hiyo ni kukosa busara. Wengine wanajidai wanajua hata umri wa mabomu yale, yalivyohifadhiwa na mambo mengine ya taaluma za kijeshi ambazo si kila mtu anazijua.

Tuwe na subira. Kama itagundulika kuwa ni ajali, ieleweke kuwa ajali ni ajali, hata kama ilitokea Mbagala yaweza kutokea pengine pia, hizo ndo ajali.

Mtaalam mmoja wa milipuko amenieleza kuwa mlipuko kama ule unaweza kusababishwa na mambo mbali mbali. Inawezekana ikawa kweli ni umri wa mabomu, au shoti ya umeme au uzembe wa mtu mmoja au hujuma kutoka kwa watu wabaya kama baadhi ya wanachama wa chama cha siasa wanaotaka Tanzania isitawalike.

Tuache kupotosha mambo, tusubiri wataalam wafanye kazi yao na umma utataarifiwa tatizo lilikuwa nini.
 
Nyerere Kaongoza katika kipindi tumefanya vita, na tumechukua mabomu yaliyosalia kwenye vita Uganda kwa kipindi cha miaka saba kabla hajamaliza muda wake hayakuwahi kutokea haya.( 1979-1985)

Mwinyi naye 1985-1995 hamna jambo kama hili.

Mkapa neye 1995 - 2005

Lakini tokea MWANAJESHI AINGIE .. 2005 ( june (kama sio April) 2007) Mbagala
Baada ya hapo DRC Wakalalamika kuwa Tz wanauza siraha kwa wahasi.

Feb 2011 Tena....

Angalizo.......
Hawa jamaa wanafuta ushahidi wa Amor inventory ili waweze kupata hela katika kulipa fidia ( Maana hakuna gharama halisi tulizoambiwa , ambazo wamelipwa watu wa Mbagara .... i mean TOTAL COSTS... ila gharama za mtu mmoja mmoja)

Hamna GHARAMA ambazo serikali imetueleza ILIPATA KIPINDI AMBACHO JESHI LILIPATA MILIPUKO MBAGALA (ukweli,,,, ni kubwa ila wameficha na wakiulizwa watasema ni NATIONAL SECURITY)

Kila mtu anakula KAZINI KWAKE.... kwa JK jeshini ni kazini kwake, na amefundishwa KUUA kama ipo kinyume cha MATAKWA YAKE (mwanajeshi) kwa hiyo kupoteza maisha ya watu haoni ni tatzo.

Huu ni mchezo... na fidia ni kiini macho... ila gharama za hasara za jeshini ni siri yao na hakuna wa kuuliza.

JK UMETUPELEKA PABAYA MNO na UNAENDELEA KUTUPELEKA KUBAYA... ila hukupaswa kuwa hapo.

NINAYO MENGI MNO niishie hapa
 
Kufuatia mabomu huko G/mboto, mwanaume mmoja amefariki eneo la kibada-kigamboni. Mtu huyo ni mkazi wa mbagala kiburugwa, akiwa huko kiburugwa aliposikia mabomu aliwachukua familia yake[mke, na watoto wawili wakubwa]ktk pikipiki[mishikaki wa watu 4]akikimbilia kigamboni ili aende eneo la kimbiji. Alipofika kibada akagongana na gari. Dereva wa pikipiki amekufa hapohapo na hao wengine wa 3 hali zao ni mbaya saaaaaana.
chanzo:kigamboni H/c
 
Ok..ni ajali!...Kwanini hapa TZ tu?
Huoni kuwa ni ajali inayohusisha uzembe?
Kama kuna mtu anasema ni ajali, basi aonyeshe uungwana kwa kuwajibika, ATAELEWEKA VIZURI ZAIDI!
 
Sidhani kama nchi yetu tuna viongozi wazalendo!!! Inanipa mashaka sana....
 
Jirani yangu hapa pugu amekatwa mguu ametangulia mbele ya haki, ndo hawa jamaa JWTZ wamekuja kuchukua mwili wake hapa

So sad, poleni sana. Halaf jitu linasema huku limelegeza makengele yake" ni ajali tu"lufindo lwake!
 
Ok..ni ajali!...Kwanini hapa TZ tu?
Huoni kuwa ni ajali inayohusisha uzembe?
Kama kuna mtu anasema ni ajali, basi aonyeshe uungwana kwa kuwajibika, ATAELEWEKA VIZURI ZAIDI!

Utajuaje kuwa ni uzembe kabla ya kufanya uchunguzi?
Tusikimbilie kufanya majumuisho, inakuwa vigumu kusubiri?
 
Inasikitisha kuona wachangiaji wengi kwenye hii forum wakichukulia ajali iliyotokea Gongo la Mboto kisiasa.

Pamekuwa na wachangiaji wanaothubutu hata kuhusisha chama cha siasa au ufisadi na milipuko hiyo.

Si ustaarbatu kukurupuka na kutoa majumuisho yasiyo na mantiki. Kulilaumu jeshi au serikali kabla ya kujua chanzo cha milipuko hiyo ni kukosa busara. Wengine wanajidai wanajua hata umri wa mabomu yale, yalivyohifadhiwa na mambo mengine ya taaluma za kijeshi ambazo si kila mtu anazijua.

Tuwe na subira. Kama itagundulika kuwa ni ajali, ieleweke kuwa ajali ni ajali, hata kama ilitokea Mbagala yaweza kutokea pengine pia, hizo ndo ajali.

Mtaalam mmoja wa milipuko amenieleza kuwa mlipuko kama ule unaweza kusababishwa na mambo mbali mbali. Inawezekana ikawa kweli ni umri wa mabomu, au shoti ya umeme au uzembe wa mtu mmoja au hujuma kutoka kwa watu wabaya kama baadhi ya wanachama wa chama cha siasa wanaotaka Tanzania isitawalike.

Tuache kupotosha mambo, tusubiri wataalam wafanye kazi yao na umma utataarifiwa tatizo lilikuwa nini.
Wewe nathani huijui nchi hii zaidi ya 70% ya ajali nyingi hutokea kizembe na hapo jeshini hakuna kitu kama ajali hizo ni sehemu ambazo zinapaswa kuangaliwa kama mboni ya jicho! mbona makambi ya jeshi haya haya yalikuwa hayalipuki hapo kabla? hii ina maana kanuni za kijeshi katika kuifadhi na kutunza zana za kijeshi hazifuatwi. Uzuri wake wataunda tume halafu matokeo watapiyapika watupakulie kama at all wataamua kusumbuka hata kwenye kuyapika!
 
Mume wangu na watoto na mahousegirl imebidi wakimbie wamehacha wamefunga nyumba. Lazima tuibiwe na hapo tunahishi sitakishari imagine. Nina shemeji yangu mjeshi aliwahi nambia Gongo la Mboto mabomu yakilipuka kama mbagara mji wote utateketea kwani ndio kambi ambayo ni makao makuu ya maghala ya mabomu na kuna mabomu yana uwezo wa kufika morogoro. I am crying my family moved to my mom Tabata I don't think it is far enough kwani nasikia kuna moja limeangukia segerea!
 
Dah.... ajali zimekosa maana basi!

Hebu define ajali kwanza kabla hujaliita hili tukio la detonation ya mabomu ndani ya ghala la jeshi kuwa ni ajali??
 
Back
Top Bottom