Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Poleni sana ndugu zetu wa ukonga na wote mliadhirika katika janga hili.
Mi kinachonikera ni pale tu wanapoleta majibu mepesi kwa maswali magumu..natamani niwanyongeleee mabali hao!! Yaani maisha yetu yanachezewa ka mpira wa danadana!!
 
Nafikiri hayo yanayoruka na kupita juu za nyumba ni risasi za mizinga na maroketi ya kupigia mizinga ukichanganya na high speed bullets ,nijuavyo mabomu huwa hayaruki hulipukiana papo kwa papo ila hayo niliyoyata yakiunguza fuse tu huelkea kusikojulikama kama lililofyetuliwa kutoka kwenye mzinga,ila kama kuna wakuu wanaojua habari za mabomu yanayoruka watueleze. Sidhani kama kuna mtu anatakiwa ajiuzulu huo utakuwa ni uzezeta kutaka kiongozi wa juu ajiuzulu ,mbona sehemu nyingi tu duniani kulipuka kwa maghala ya silaha ni jambo la kawaida.

Nawapa pole wenyeji wa eneo hilo na wajeshi waliokuwa kwenye zamu.

mbona ni jambo la kawaida kote duniani kwa extremists kama wewe kujilipu kwa kujitoa muhanga
 
Kweli mtu amefika sehemu yenye kuhuzunisha anadiriki kupiga picha na tabasamu kana kwamba yupo kwenye sherehe fulani. Embu cheki hii pic

View attachment 23319

attachment.php
 
''We should not blame our enemies for oppressing us but we've to blame ourselves for being coward''


Oh! poor Tanzanians until when?
 
inteligensia inapata habari kuhusu maandamano ya chadema lakn si mambo muhmu kama haya! Yaan acha tu. Oh my dear tz

My take, idara ya intelegensia ya IGP Said Mwema ilitakiwa kufanya kazi wakati huu, angalau siku moja kabla ya milipuko ili kuokoa hao 200 wanaosemekana wamekufa kutokana na vyanzo vya blogs au basi hao 27 waliosemwa na serikali (Waziri Mkuu). Kwa wananchi kutopewa taarifa za kiinteligensia kama zipo ili wahame mapema si vizuri; serikali yetu jitahidini kulinda maisha na mali za wananchi kama katiba ya sasa inavbyowataka.
 
Mh. Vicent nyerere juzi aliuliza juzi bungeni,mh.spika tunanunua mabomu ya nini wakati hotuba ya rais ya kufungua bunge imesema kuwa mipaka yetu iko salama? Wabunge wa ccm wapuuzi wakaanza kumshambulia kwa kuomba miongozo ya kumpinga kununua mizinga na mabomu! Leo hii Tanzania inalipuka? Kumbuka mbagala walilipa cheki mpaka sh.3000/= sasa serikali itaumizwa na nini wakati wanaokufa hawana thamani? Ya nini serikali ishutuke wakati Tz haina wa kuhoji? Naanza kuona aibu kujiita Mtanzania! Wakati wa ukombozi wa taifa unakaribia! Sitolala ili niwe huru.
 
Wakati akihutubia kufunga mwaka mwaka jana alilisiufu sana jeshi kuendeleza kulinda amani na usalama wa nchi lakini hakuthubutu kuwapa pole wananchi wa mbagala kwa adha waliyopatiwa na serikali yao.......kikwete angekuwa na uzaledno angekuwa aliishajiuzuru zamani sana ----a very weak leader anasubiri nguvu ya umma

kikwete must resign as well

huyu ndo anasababisha haya yote
 
watu waliokufa ni zaidi ya kumi,lakini sidhani kama ni wengi kiasi cha kufikia 200+,labda ungetujuza zaidi mwenzetu taarifa umetoa wapi...
 
Nafikiri hayo yanayoruka na kupita juu za nyumba ni risasi za mizinga na maroketi ya kupigia mizinga ukichanganya na high speed bullets ,nijuavyo mabomu huwa hayaruki hulipukiana papo kwa papo ila hayo niliyoyata yakiunguza fuse tu huelkea kusikojulikama kama lililofyetuliwa kutoka kwenye mzinga,ila kama kuna wakuu wanaojua habari za mabomu yanayoruka watueleze. Sidhani kama kuna mtu anatakiwa ajiuzulu huo utakuwa ni uzezeta kutaka kiongozi wa juu ajiuzulu ,mbona sehemu nyingi tu duniani kulipuka kwa maghala ya silaha ni jambo la kawaida.

Nawapa pole wenyeji wa eneo hilo na wajeshi waliokuwa kwenye zamu.
Ripoti ya mbagala ipo wapi? Wanatakiwa wajiuzuru hata kama ni ajali.......mara ya pili hii, na kumbuka ajali wakati mwingine huzuilika. Yaani baada ya mbagala tulitegemea wawe wamejifunza lakini tatizo lilelile linajirudia. Wajiuzuru!
 
Kikwete yupo kwenye matambiko mwachni kwanza..............katiba ijayo ninapendekeza aongezewe miaka mingine kumi baada yaq hii kwani ameifanyia makubwa tz
 
Kama madaraka tunapeana kiswahiba mtawajibishana vipi?? Inabidi tuseme ni bahati mbaya ili kufunika kombe mwanaharamu apite. Hivi kweli JK anaweza kumuwajibisha mtoto wa Mwinyi?? Si Mwinyi naye aliwahi kumpa JK uwaziri na JK kalipa kwa kumpa mtoto wa Mwinyi... Kwanza tujiulize sakata la Mbagala kuna mtu hata mmoja alijiuzuru?? Kama hakuna then nani angechukua taadhari wakati hakuna issue yoyote kubwa nchii hii hata kama watu wanakufa. Kosa lilishafanyika kuruhusu Mkwere achakachue kura na kubakia kuwa rais then tuendelee tu kubeba msalaba manake ndo adhabu zenyewe hizo na laana toka kwa Mungu
Mkubwa umeeleka, sasa tuanze na lipi? 1.Tuandamane au 2.Tusubili wahusika wajiengue.
 
Ripoti ya mbagala ipo wapi? Wanatakiwa wajiuzuru hata kama ni ajali.......mara ya pili hii, na kumbuka ajali wakati mwingine huzuilika. Yaani baada ya mbagala tulitegemea wawe wamejifunza lakini tatizo lilelile linajirudia. Wajiuzuru!

Muulize William Lukuvi
 
Haki ya nani .................imekuwa kama KANDAHAR!!! Poleni sana Watanzania........Mungu anakisikia kilio chenu!
 
Halafu mtu anakuja anatoa majibu mepesi tu eti ni ajali, ajali my ass!
 
Ingawaje sio mtaalam wa masuala ya kijeshi wala intelijensia ya ulinzi na usalama lakini tukio la jana la Gongolamboto limenifanya nijiulize kama kweli katika hali hii ya kutokuwa na ugomvi na majirani zetu bado tunahitaji kutunza haya mabomu ya zamani ambayo yanatulipukia kila kukicha,alternatively, kwa nini yasiondolewe kwenye haya makambi ambayo yapo mijini karibu na makazi ya watu,mtanzania wa leo ana mzigo wa matatizo,tena tunamwongezea mzigo wa wasiwasi wa kulipukiwa na mabomu,kupoteza mali na familia,hebu watuonee huruma kidogo jamani,wanafanya mpaka tujute kuzaliwa nchi hii.
 
Uwezo Intelligensia ya jeshi upo katika kumonita upinzani na kipi wanachokifanya, utabiri wao hauna uwezo kabisa kwa suala kama hili lakuteketeza maisha ya watu. They must step down
 
Jamaa yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi mwenye cheo cha luteni anasema JK aliambiwa anunue mabomu mapya akasema hayohayo ya zamani yatafanya kazi!! Kwa maana hiyo jk hawezi kukwepa lawama kwa hili.
 
Somebody must resign for this crap intelligensia.Poleni wafiwa na majeruhi kuweni na nafuu
 
Back
Top Bottom