Waziri wa ulinzi asipowajibika this time nitajua ni jinsi gani anavyopenda madaraka
Kiungwana kabisa nategemea kuna watu watawajibika kwa kujiuzulu.Pls mwenye details za hasara na vifo vilivyotokana na hili if any tujulishe.
Jana mimi hawa jamaa wa TV stesheni walinikera sana kutoonyesha habari hizi hata japo picha za tukio.ninatoa wito watu wa TV zote zisambae mitaani warushe atleast live kwa siku mbili tatu hivi (especialy leo) ili watu waweze kuwaspot walipoteahaisaidii kwenda kuwatafuta wanajeshi na wanasiasa watuelezee, wafanye kureunite waliotawanyika kwa kuwarusha hewani na kuwahoji! pleeeese TV zote na bill yote pelekeni kwa mtoto wa Mwinyi na Mwamunyange!
amen.....mungu wa rehema na neema tunaomba uwaponye majeruhi wote kwa haraka, wale waliopotewa na ndugu, jamaa na marafiki uwape faraja kuu na waliopoteza maisha uwape mwanga wa milele na raha ya milele uwaangazie.
Mungu wa haki tunakuomba unyoshe mkono wako kwa wale wote waliohusika kwa kukusudia au kwa zembe wao na maafa haya katika nchi yetu. Mungu wewe ni adui wa maadui zetu na hawa watu ni adui wa uhai wetu na watoto wetu. Washughulikie mmoja mmoja kwa kadiri ya uhusika wake katika hili.
Mungu tumechoka tuteteee mwenyewe sasa!! Usinyamaze mungu tunataka kuuona mkono wako. Amen!!
Walikuwa wapo busy kuonyesha tamthilia TV zetu hizi bado hazijajua kuonyesha matukio live ya breaking news au sijui ndio udhaifu maana hata sielewiJana mimi hawa jamaa wa TV stesheni walinikera sana kutoonyesha habari hizi hata japo picha za tukio.
Na kweli ni either of the two kuwajibishwa au kuadabishwaMuafrika hawajibiki anawajibishwa na kuadabishwa.