samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,607
- 4,818
Nafikiri hayo yanayoruka na kupita juu za nyumba ni risasi za mizinga na maroketi ya kupigia mizinga ukichanganya na high speed bullets ,nijuavyo mabomu huwa hayaruki hulipukiana papo kwa papo ila hayo niliyoyata yakiunguza fuse tu huelkea kusikojulikama kama lililofyetuliwa kutoka kwenye mzinga,ila kama kuna wakuu wanaojua habari za mabomu yanayoruka watueleze. Sidhani kama kuna mtu anatakiwa ajiuzulu huo utakuwa ni uzezeta kutaka kiongozi wa juu ajiuzulu ,mbona sehemu nyingi tu duniani kulipuka kwa maghala ya silaha ni jambo la kawaida.
Nawapa pole wenyeji wa eneo hilo na wajeshi waliokuwa kwenye zamu.
acha kuongea madudu wewe.. ni dhahiri kabisa kwamba kuna uzembe unafanyika na palipo na uzembe basi lazima uwajibikaji uwepo, tatizo watu wengine mnaleta ushabiki wa kijinga hata kwenye masuala nyeti