Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Mbaya zaidi anaonesha kuwa alikuwa hajui kinachoendelea na yeye katumwa kutuliza watu, asivyojua lugha ya Public(diplomasia) anasema eti "NA KUZAGAA HOVYO MITAANI", lugha gani hii anatumia?, Kwa nini jeshi la polisi lisiajiri Public relation officer?, maana kama wasemaji wenyewe ndiyo hawa basi kazi ipo.

Wanae tena anauwelewa mpana na ni makini......Lakini siunajua Kova anavyopenda Sifa/ kujionyesha.....
 
No big deal (and I ain't tryin' to diss nobody either). However, the truth is CNN iReport is more like DIY kind of journalism. Anybody anywhere with an internet connection can register on CNN iReport and post "Mighty Big Breaking News" or whatever.

yes you can; but.. there are certain things you can't just report: Did you read the Producer's note? Why do you think they had to vet the story? Of course we are not claiming legitimacy cuz of that but being able to report and create a profile and credibility will help in the "future" think about it.
 
Chanzo ni ccm hii sio ajali. Hakuna credibility yeyote kutoka kwa Kikwete.
 
yes you can; but.. there are certain things you can't just report: Did you read the Producer's note? Why do you think they had to vet the story? Of course we are not claiming legitimacy cuz of that but being able to report and create a profile and credibility will help in the "future" think about it.

Whatever man. What's clear to me is that Safaripilot gave a more decent description of events on the ground than you did.
 
mungu ibariki Tanzania...Zidumu fikra sahihi zinazotuepusha na majanga kama haya ya milipuko ya mabomu, mgao wa umeme, kukosekana kwa maji,madawa mahospitalini, kupanda kwa bei za:- petrol, diesel, mafuta ya taa, nyanya, samaki, kunde, nazi, mapera... Kidumu chama cha mapinduzi kwa kudumisha amani na mshikamano kwa watanzania...
Kweli kidumu na kiendelee kutuletea maafa haya makubwa kwani hatuko tayari kutumia nguvu ya mbaga (watu) kukiondoa madarakani baada ya kushindwa kuingoza na kuamua kuipeleka nchi yetu kuzimu.
 
Dr Slaa alisema kuchagua CCM ni kuchagua Maafa.

Mimi sishangai wewe milipuko ya mabomu wewe Je?
 
lo, poleni sana waathirika wote, yaani sasa ndio na mimi napata nguvu, nilkuwa na wasiwasi sana. nimeambiwa na mtu kuwa kitunda kuna mabomu yameanguka na yameleta madhara. nina dada yangu anasoma KIU kule gongo la mboto nilipoongea naye na akaniambia yu mzima na yuko nyumbani ndio nimepumua. Glory to God
 
Yaani hata sijui usalama wa nyumba yangu na mali maana nimefunga na kuendesha gari hovyo,, EE MOLA WETU TUNUSURU.
Pole sana ndugu yangu na wote mlioathirika na janga hili ambalo limeletwa na uzembe usiovumilika ambao unatakiwa kusababisha kuondolewa madarakani Amiri Jeshi Mkuu. Haiwezekani maafa kama haya yakatokea mara mbili katika kipindi kisichozidi miaka miwili. Huu ni uzembe na ni lazima vichwa viviringishwe ili kuondoa aibu hii. Ni lazima Watanzania tuamuke na kusema katu kamwe na kudai kuwajibishwa wote wale waliosababisha haya kuanzia Amiri Jeshi Mkuu na wasaidizi wake ambao walitakiwa kuepusha janga hili la makusudi.
 
Tangu vita ya Uganda na wakati wote wa vita baridi tulikuwa tunatunza mabomu sehemu mbalimbali nchini; haijawahi kutokea matukio ya kufuatana namna hii na ukubwa wa namna hii. Matukio zaidi yalikuwa ni yale ya mtu kaokota bomu akidhania kiazi; lakini leo chini ya miaka miwili kunatokea tukio hili... sidhani kama Mungu amekula njama dhidi ya Tanzania!
 
Tangu vita ya Uganda na wakati wote wa vita baridi tulikuwa tunatunza mabomu sehemu mbalimbali nchini; haijawahi kutokea matukio ya kufuatana namna hii na ukubwa wa namna hii. Matukio zaidi yalikuwa ni yale ya mtu kaokota bomu akidhania kiazi; lakini leo chini ya miaka miwili kunatokea tukio hili... sidhani kama Mungu amekula njama dhidi ya Tanzania!

Ina maana kale kakabrasha kalikotumwa humu kuhusu hujuma itakayopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe jeshini kana kaukweli fulani?
 
Its enough now. Tunayoyaona ni dalili za kuuwa Taifa letu. Kila kitu kinapokuja juu ya Wananchi utaona lawama either ni "ajali" au "sio makosa yao" Hakuna anaye wajibika, ukianzia uchaguzi NEC, Dowans, EPA na mikataba ya uongo kila mahali. Excuse ya Kikwete inakuja na watanzania jiandaeni kwa uongo na kamati za kula pesa za Watanzania. Tuangalie hili "Janga la Leo" Tutaona wananchi wengi wamekufa na Mali za wananchi nyingi zimeharibiwa. Kilicho leta haya yote ni "Kikwete people" Mara nyingine tena Wananchi Wamekufa Bila Sababu Yeyote. Taifa linaendelea mbele na Mapambano yetu yanaendelea.

Majibu ni Maandamano na Kupinga Udanganyifu na Serikali ya Kikwete

t1larg.tanzania.explosion.irpt.jpg

Explosions at munitions depot rock district near Dar es Salaam airport - CNN.com
 
yes you can; but.. there are certain things you can't just report: Did you read the Producer's note? Why do you think they had to vet the story? Of course we are not claiming legitimacy cuz of that but being able to report and create a profile and credibility will help in the "future" think about it.

Goooo M Mwanakijiji!!!!I c it will real help :clap2:
 
Jirani yangu hapa pugu amekatwa mguu ametangulia mbele ya haki, ndo hawa jamaa JWTZ wamekuja kuchukua mwili wake hapa
Pole sana na Mungu ampumzishe kwa amani. Hili ni janga la kitaifa lililosababishwa na uzembe mtupu. Ni lazima vichwa vya wakubwa uchwara wa nchi na jeshi viviringishwe.
 
Inasikitisha kuona wachangiaji wengi kwenye hii forum wakichukulia ajali iliyotokea Gongo la Mboto kisiasa.

Pamekuwa na wachangiaji wanaothubutu hata kuhusisha chama cha siasa au ufisadi na milipuko hiyo.

Si ustaarbatu kukurupuka na kutoa majumuisho yasiyo na mantiki. Kulilaumu jeshi au serikali kabla ya kujua chanzo cha milipuko hiyo ni kukosa busara. Wengine wanajidai wanajua hata umri wa mabomu yale, yalivyohifadhiwa na mambo mengine ya taaluma za kijeshi ambazo si kila mtu anazijua.

Tuwe na subira. Kama itagundulika kuwa ni ajali, ieleweke kuwa ajali ni ajali, hata kama ilitokea Mbagala yaweza kutokea pengine pia, hizo ndo ajali.

Mtaalam mmoja wa milipuko amenieleza kuwa mlipuko kama ule unaweza kusababishwa na mambo mbali mbali. Inawezekana ikawa kweli ni umri wa mabomu, au shoti ya umeme au uzembe wa mtu mmoja au hujuma kutoka kwa watu wabaya kama baadhi ya wanachama wa chama cha siasa wanaotaka Tanzania isitawalike.

Tuache kupotosha mambo, tusubiri wataalam wafanye kazi yao na umma utataarifiwa tatizo lilikuwa nini.
Hii ni kauli ya kizembe na isiyo kuwa na mantiki hata kidogo. Itakuwaje mtu huzuie watu wasitoe hisia zao na kukemea uzembe kama huu. Hakuna namna yoyote ile ambayo mtu anaweza kutoa kauli kama yako kama sio mtu anayefurahia maafa yaani kwa Kiingereza Sadist. Hutakiwi mtu kuwa na elimu zaidi ya darasa la kwanza kujua kuwa silaha kama hizo hazitakiwi kuwa karibu na makazi ya watu na kuwa kitendo cha kuzihifadhi katika maeneo hayo ni uzembe mkubwa. Tena uzembe huu umeendelea kutokea hata baada ya milipuko ya Mbagala. Ndugu yangu serikali iliyojaa uzembe na ambayo ina watu waliopigwa sindano ya nusu-kaputi ndiyo inaweza kutoa sababu kama unazozitoa hapo. Huu ni uzembe na ni lazima serikali na viongozi wake wawajibike. Kituo.
 
what went wrong?viongozi wanazidi kuneemeka ktk kamati za utafiti na uchunguzi,hawafanyi bure ktk hizi tafiti so wanakula posho za kufa mtu kila kikao its about 250 laki na kuendelea,mpaka kamati iishe mtu ana mshiko wa maana.then hamna kinachotendeka kutokana na findings hizo.sasa hili la gongo la mboto lisingetokea kama findings za mbagala zingekuwepo na kufanyiwa kazi.
asante kwa kuweka hizi picha ,a picture says a thousands words.
haya Mh.Dokata raisi Jakaya kikwete its time kuwa wajibisha wahusika bila aibu kwani bila kufanya hivyo utakuwa umejiabisha mwenyewe ikizingatiwa umepiga hadi picha zako ukiwa muhimbili kuwapa pole waathirika wa mabomu ya mbagala,

Ni kweli nchi yetu ina uongozi usio na kumbukumbu kama maji ya mto.Aibu, Aibu narudia Aibu juu yao.
 
Hii nchi use*ge umezi wazembe wachache wanaleta maafa af wanazidi kuwepo kazini tugomeni kwa pamoja
 
Kiungwana kabisa nategemea kuna watu watawajibika kwa kujiuzulu.Pls mwenye details za hasara na vifo vilivyotokana na hili if any tujulishe.
 
Jamani nimekutana na familia nne ubungo, watoto wapowapo tu, jamani kwanini jeshi lisisaidie kuwakusanya hawa watu, kazi ya magari ya jeshi ni nini?
 
Jamani nimekutana na familia nne ubungo, watoto wapowapo tu, jamani kwanini jeshi lisisaidie kuwakusanya hawa watu, kazi ya magari ya jeshi ni nini?
Waziri wa ulinzi asipowajibika this time nitajua ni jinsi gani anavyopenda madaraka
 
Back
Top Bottom