Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Nimekumbuka Mmisri mmoja alikuwa anaongea BBC " At last Farao let Moses take His people to the land of Promise" akimaanisha wametoka utumwani mwa Mubarak. Enyi mafarao wa Tz a.k.a mafisadi, tuhachieni nchi yetu. I think this crisis has come to show us the way out of this imprisonment. Kweli serikali haikujifunza toka Mbagala? Why are you kiling your people? Is it realy worth to be called an accident?
 
Utajuaje kuwa ni uzembe kabla ya kufanya uchunguzi?
Tusikimbilie kufanya majumuisho, inakuwa vigumu kusubiri?

Uchunguzi wa mabomu ya Mbagala waliunda tume, uchunguzi ukafanyika, taarifa wamezikalia, uzembe wa serikali, unategemea nini kitafanyika kwa wazembe walewale na tume ile ile itapelekwa Gongolamboto kufunika uzembe wa jeshi na serikali ya ccm.
 
Mume wangu na watoto na mahousegirl imebidi wakimbie wamehacha wamefunga nyumba. Lazima tuibiwe na hapo tunahishi sitakishari imagine. Nina shemeji yangu mjeshi aliwahi nambia Gongo la Mboto mabomu yakilipuka kama mbagara mji wote utateketea kwani ndio kambi ambayo ni makao makuu ya maghala ya mabomu na kuna mabomu yana uwezo wa kufika morogoro. I am crying my family moved to my mom Tabata I don't think it is far enough kwani nasikia kuna moja limeangukia segerea!
mJOMBA, poleni...hopefully madhara hayajawa makali kiasi hiki!
Jeshi letu linaonyesha madhaifu makubwa sana mbele ya jamii!...Sielewi uweledi wao hasa umejikita kwenye nyanja zipi za kijeshi!
 
Mume wangu na watoto na mahousegirl imebidi wakimbie wamehacha wamefunga nyumba. Lazima tuibiwe na hapo tunahishi sitakishari imagine. Nina shemeji yangu mjeshi aliwahi nambia Gongo la Mboto mabomu yakilipuka kama mbagara mji wote utateketea kwani ndio kambi ambayo ni makao makuu ya maghala ya mabomu na kuna mabomu yana uwezo wa kufika morogoro. I am crying my family moved to my mom Tabata I don't think it is far enough kwani nasikia kuna moja limeangukia segerea!

Pole mpendwa Mungu ameshawaponywa. Jipe moyo. Najua hofu yako naijua uchungu vita/displacement. Lets close our fingertips .
 
hapa katika hili ndio pa kumtoa Jk madarakani kwani anatupeleka ni pabaya kwani wamekosa umakini wa kusimamia mambo ya msingi ile hali waliahidi hali hii haitajirudia tena sasa hivi kiko wapi?
 
Utajuaje kuwa ni uzembe kabla ya kufanya uchunguzi?
Tusikimbilie kufanya majumuisho, inakuwa vigumu kusubiri?

Mkuu are you kidding? hivi kuna muda gani umepita toka yalipotokea Mbagala? na hakuna aliyewajibishwa, so kama sio uzembe ni nini?
Ofcoz ni mtaji mkubwa sana kisiasa kama unaelewa nini maana ya siasa.

Poor Tanzania:sick::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::sick::sick:
 
hapa katika hili ndio pa kumtoa Jk madarakani kwani anatupeleka ni pabaya kwani wamekosa umakini wa kusimamia mambo ya msingi ile hali waliahidi hali hii haitajirudia tena sasa hivi kiko wapi?
Walipouwa Arusha wakasema hali hiyo haitajirudia tena, mara wakajisahau, wakaenda kuua tena Mbarali....!
Ni wakati sahihi wa kuacha kuwaamini kabisa hawa...Ni bora kichaa, maana at least anakumbuka njia ya kwao!
 
kama moto unaweza sambaa 10km toka eneo la tukio mbona wafungwa wa ukonga hawajahamishwa? nadhani liko karibu zaidi na ghala linaloungua!
 
Sasa hivi nchi si salama tena jamani hatuna viongozi wa kutufanya tuwe salama kuna bomba la gesi kutoka songosongo limekatisha jirani na gongo sasa vile vipande vingeangukia bomba basi ingekua mara tano zaidi ya blasts
 
Pole sana nyumba kubwa...its time now to honest na kuishi vyema na watu in order to be in heaven half an hour before the devil knows your dead!
 
huyu atakuwa fisadi au mfaidika na ufisadi ndio maana haoni kama kuna uzembe umetendeka..... kwa mwendo huu watu wa kunduchi waanze kuwa na wasi wasi kama kambi ya kule ina mabomu pia, huko mzinga ikitokea sijui ndo itakuwaje
 
Nchi yetu Bwana Full Kupongezana... Lakini mambo yakiharibika nobody takes Responsibility..
 
sasa tuna kila sababu ya kukutana mnazi mmoja uwanja wa mashujaa kumshinikiza mkwere aachie ngazi kwani nchi ishamshinda,tumechoshwa na ahadi za uongo kila kukicha...yani nilikuwa Amana hospital hadi saa sita na nusu maiti zilizoletwa kwenye defender la ffu ni zaidi ya tano na majeruhi hawaesabiki
 
TUJIKUMBUSHE MABOMU YA APRILI 2009 MBAGALA
8D6U0041.JPG

Aprili 30. 2009 Mh. Rais J.K Kikwete akiwa eneo la Mbagala jirani na kambi ya jeshi DSM akiwa na wasaidizi wake kuanzia kushoto Naibu waziri ulinzi wa Nchimbi Pili shoto, Mkuu wa JWTZ Jenerali Mwamunyange tatu kushoto na Inspekta jenerali wa Polisi Saidi Mwema.

8D6U0243.JPG

Aprili 30. 2009 Mh. Rais J.K Kikwete akiwa kitengo maalumu cha mifupa- MOI hospitali ya Taifa Muhimbili akiwafariji majeruhi wa milipuko ya mabomu ya Mbagala DSM. Watu 20 alipoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa na mamia ya nyumba kuharibiwa.

DSC06354.JPG

Aprili 2009, Brigedia Jenerali F. Ulomi akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais Dk.Shein.

RIPOTI YA MKUU WA MKOA WA DSM KUHUSU MADHARA YA MABOMU YA 2009 zaidi ya watu 30,000 waathirika
Mkuu wa Mkoa wa Dar es SaLaam, William Lukuvi ametoa ripoti maalumu ya milipuko ya mabomu katika kambi ya jeshi Mbagala yaliyotokea na kuharibu nyumba zilizokuwepo karibu na maeneo hayo.


Ripoti hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es SaLaam, William Lukuvi na ilifanyiwa uhakiki na kamati maalumu ambayo iliundwa kuhakiki nyumba zilizoharibika ili waweze kupatiwa fidia.


Lukuvi amesema kuwa katika ripoti hiyo nyumba ambazo ziliteketea kabisa na hakuna kitu kilichookolewa ndani zilikuwa jumla ya nyumba 235.


Nyumba 54 ziliharibika ambazo hazifai kwa matumizi ya binadamu ambazo hazikuteketea kabisa na kuanguka.
Amaesema nyumba zingine ziliathiriwa kidogo kidogo na si kuanguka chini na kufaa kwa matumzi ya binadamu.


Amesema jumla ya nyumba zote ambazo ziliathirika hata kama hazikuanguka zilikuwa jumla ya nyumba 9200 (makisio nyumba moja at least wakazi 4) hivyo kufanya zaidi ya wakazi 36,000 wa eneo karibu na kambi kuathirika kwa mstuko, moshi, kutimka, kiwewe n.k. hii ni bila kujumuisha wakazi wa maeneo mengine ya Dar-es-Salaam ambao pia waliathiriwa kwa namna moja au nyingine.


Amesema ripoti ya awali ilionyesha jumla ya nyumba zilizoathiriwa na mabomu hayo zilikuwa nyumba 9254 ambazo si sahihi.

Amesema serikali imeshaanza mchakato wa kuwalipa fidia wananchi hao ili waweze kupata makazi.
 
Back
Top Bottom