Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Kesho tutapata taarifa mbaya za watoto kupotea!!
 
Yaani hata sijui usalama wa nyumba yangu na mali maana nimefunga na kuendesha gari hovyo,, EE MOLA WETU TUNUSURU.
 
JF yaongoza wengine wajikongoja, magazeti hadi kesho.

There are currently 1127 users browsing this thread. (296 members and 831 guests)
 
NAona kimya sasa je mlioko maeneo karibu na huko vp tupenmi habari
 
DESTRUCTION... Hosea 4:6 " Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa "

MY PEOPLE PERISH FOR LACK OF KNOWLEDGE. HOSEA 4:6
 
Mungu akulinde mpendwa. Sikia hii,MHE.SPIKA HAWA CDM WAMEZIDI, WAMEONA TUMEWADHIBITI KUCHOCHEA MAANDAMANO YA RAIA, WAMEANZA KUCHOCHEA MAANDAMANO YA MILIPUKO YA MABOM GHALANI! C.C.M wataitikia :kweeeeliiii tuwatenge.

Thanks, but not funny at this time. Tell me who has resigned
 
CONFIRMED: kuna nyumba PUGU zinawaka moto kutokana na mabomu ya Gongo La Mboto
 
Eeh! Mungu uwanusuru watoto, wazee, walemavu na watu wako wote na hayo mabomu.

Shimbo! Vipi ukupata taarifa za kiintelenjinsia kuhusiana na hayo mabomu kabla ya kudhuru ndg zetu?

Mkono wa Mungu ukasimame, ili wazembe wawajibishe, wanadamu wakiwaogopa, basi w
Wewe Mungu uingiliye kati, kwani mambo tunayoyashuhudia ndani ya taifa letu yanahitaji ujasiri wa kuyashughulikia, na Wewe unaweza. Tulowapa dhamana wana hofu na wanadamu, wamesahau kuwa upo Mungu mwenye wivu. Yashughulikiye, ili watu wako wasijetenda dhambi ya kukata tamaa. Naambiwa hiyo dhambi haina msamaha, basi kuliko watu wako kutenda hiyo dhambi, ni bora uwashughulikiye hao wazembe.
 
mimi naishi huko na namshukuru Mungu nimeiokoa familia, WANAJAMII SIJIELEWI NA HALI NI MBAYA SANA, TUWAOMBEENI WENZETU. NIMEENDESHA GARI BILA KUJIELEWA KUIOKOA MY FAMILY,, TUONEENI HURUMA. nchi hii siielwewi kabisa.
am strongly condemning to the current govt of Tanzania kwa adha iliyotufika.

pole sana,u deserv kulaumu,MUNGU MUWEZA
 
poleni sana wakazi wa gongo la mboto.
Baada ya hili tukio,kiongozi wa JEshi anayehusika na usimamizi wa Silaha Awajibishwe. Mbagala ilikuwa funzo,jeshi linatakiwa litunze silaha kwa uangalifu mkubwa mmno,pia wanaotunza silaha maslahi yao inabidi yaboreshwe ila kazi ithaminike.

tuombe mola wasife watu kutokana na haya mabomu
 
hii ni dili sisiem imeitengeneza baada ya DOWANS kushtukiwa ..ili wapate pesa za misaada ya wahanga
 
Hizo ni TV au Vent za MAFISADI??

Wao hawatafuti habari wanasubiri kuletewa ili wazitangaze.

Jamani hizi TV zetu as if hakuna kilichotokea wenyewe ni mamuvi tu na masoap operas, kama hakuna uwezekano wa kupata picha hata sauti tupu inatosha, hakuna mwenye akili timamu anaweza kuenjoy muvi na soap opera saa hizi! we want to know whats going on right now, kucopy na kupaste kumezidi
 
mimi bado ninaamini kabisa kuwa hatima yetu na ile ya watanzania wenzetu iko mikononi mwetu, tunapokubali kufanywa wajinga, tunapokubali kuteketezewa mali zetu, tunapokubali kupotezewa ndugu zetu, tunapokubali kubakizwa masikini wakati wao wanaishio maisha mazuri, wako salama, hawana ndugu waishio maeneo hayo ya Mbagala na Gongo la Mboto (Hivi kwa nini milipuko yote inatokea huku kwetu kwa walala hoi) sisi ndio wa kulaumiwa......kwa nini hatuigi wayafanyayo wenzetu?? Tuonyeshe kuwa tumechoka na tuandamane maandamano ya amani wawajibishwe wahusika ........tukianza na hawa wa ULINZI ni wazi wa NISHATI na wengineo watatia akili........haisaidii kukaa na kupiga kelele hapa JF na kutukana .............f....k
 
This is unbearable, sijui ile dhana ya kulinda usalama wa raia ipo wapi?
 
Jamani ati nasikia gereza la Ukonga limebomoka na wafungwa wamesambaratika "sina uhakika na hii habari" je hebu mtu atupe undani wa hili zaidi...!
 
Back
Top Bottom