Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Baada ya tuzo ya DOWANS kupingwa na wananchi na watanzania ..sasa serikali ya CCM imeamua kuja na staili nyingine mpya kwa kubuni mbinu ya kupata fedha za kuwalipa wafadhili wa uchaguzi uliowapa ushindi wa utata..

sisiem kwa kutumia high profile conspiracy ya Gen. wa jeshi na kada wa chama Mtukutu Shi... m..bo wamelipua ghala la mabomu huko Gongo la mboto kwa makusudi ili waanzishe mfuko wa maafa watakao utumia kama chanzo cha mapato mbadala wa DOWANS

nimemaliza...

source: personal school of thought and analytical thinking

Kweli umemaliza,kwa kufikiri.Ni wazo mkuu halikataliwi,ila kwa makusudi hapo ndipo napopata wasiwasi,Mazingira ya mlipuko huu si mchezo hapo ni mahali penye makazi mengi ya raia,kama kuna kiongozi mchakachuaji anayediriki kufikiria kitu kama hicho basi atakuwa muuaji kuliko Hitla,Iddi Amin,naomba nimfananishe na Osama na world tread centre.Maafa haya hawata changisha ila watatoa pesa serikalini na musema wanawalipa wahanga na kiasi kitakachotumika ni kidogo kuliko kilichotolewa serikalini.Asilimia nyingi itarudi kwenye pengo la DOWANS.Tusubiri tuone kifuatacho...
 
Nchi ya bahati mbaya na uundwaji wa tume, watatoa taarifa za uongo kesho! laiti wangefanya maamuzi sahihi kipindi kileeee, so TZ tumekua watu wa matatizo tu, mara umeme mara mvua mara mabomu!! what is this?

Nina walakini viongozi wetu hawakupata madaraka kwa njia sahihi inayokubalika!!!
 
Yaani hata mimi nashangaa, movie za nini saa hizi. Badala ya kutupa kinachojiri!

inawezekana wamepewa onyo wasioneshe matukio! Tz ya sasa haiminiki! Afu nashangaa kambi zipo maeneo ya makaz duni badala ya kupeleka huko Oysterbay na masaki kwao! I hate these leaders of 2day! Na mbunge wa eneo hli badala ya kushughulkia masuala muhmu ka haya wao ni kukimbizana na mabox ya kura siku za uchaguzi, from there hamna jingine la maana! Yaan acha tu
 
kesho ni prime minister's questions bungeni ... atasema ni Godbless lema ndio amefanya milipuko hii .. lol
 
Serikali imetishia na imejaribu kuniua. Na taka ikifika asubuhi nataka nisimkute mtu yeyote akiwa madarakan! Nmechoka wakuu,watz tumelalaaaa!
Hii ndio ilikuwa nafasi nzuri sana.
 
Nchi ya bahati mbaya na uundwaji wa tume, watatoa taarifa za uongo kesho! laiti wangefanya maamuzi sahihi kipindi kileeee, so TZ tumekua watu wa matatizo tu, mara umeme mara mvua mara mabomu!! what is this?

Nina walakini viongozi wetu hawakupata madaraka kwa njia sahihi inayokubalika!!!
Mkuu, bado una walakini kuhusu hili?....Sisi tuligundua siku ya kwanza baada ya uchaguzi!.. ha h haaaa!
 
pOleni sana watu wa Dar...
Huku ndiko kurudia kosa ambako kunastahili kuadhibiwa watu sasa!
sUPPOSE THIS ACTION GOES UNPUNISHED...gooosh!!i will learn something about martyrdom

Sijawahi kukasirika tangu nimezaliwa kama leo. I am ready for anything
 
pOleni sana watu wa Dar...
Huku ndiko kurudia kosa ambako kunastahili kuadhibiwa watu sasa!
sUPPOSE THIS ACTION GOES UNPUNISHED...gooosh!!i will learn something about martyrdom

Asante PJ tuombeeni jamani manake sasa ni mkono wa Mungu umebaki tu kwa ajili ya kutuokoa, tuliobaki manake wengine wameshaondoka bila hata kuaga!! Na wengine wanaugulia majereha!!
 
nasikia watano wameshakufa hadi hivi sasa na wengine arobaini majeruhi.
 
Katavi acha Uongo. Hali imetuli kwa sasa. Mimi nimepangiana zamu na wife yeye kalala na watoto mimi nipo zamu hadi saa 8.00 namwamsha aendelee ili nami nipate usingizi kidogo. huwezi kulala kwani kama haya yanayoruka kuelekea sehemu zingine yakikukuta haupo macho ni hatari tu

Poleni sana, jamani tunawaombea Mungu awalinde wote huko.
 
swala la Tv zetu kushindwa kurespond kwa tukio kubwa hv linashtua sana.pia jaman kelele nyingi tunazopiga juu ya viongoz wetu kutowajibika na wengine humu kuwatetea sijui tutafika wapi! Hii incident ya ngapi kwa jeshi? Nani awajibike? Nani awawajibishe wahusika?tusubiri taarifa tamu na kuundwa tume kesho then tunasahau.wabunge wa ccm hawawez kuwa waz kutaka mkuu wa majesh awawajibishwe bali atakae kuwa mkali atazomewa au kuitwa mchochezi.cdm isimamieni serikali sasa bila kuyumba.
 
Radio One: Uwanja wa Taifa wa mpira watengwa kwa ajili ya wahanga
 
ccm wapo tayari hata kuiweka rehani nchi hii kwa magaidi ..ili wamlipe RA
 
Eti Kova anasema watu warejee majumbani!

Hivi Katavi ni sawa Kova kuelekeza wananchni cha kufanya badala ya Jeshi mbona hawa jamaa mi wananichanganya, Sehemu ya JWTZ wanaongea Polisi, sehemu ya Polisi wanaongea JWTZ au siku hizi wanafanya kazi pamoja!!?
 
Yaani hii nchi sijui ni vipi, hawajajifunza ya mbagala.
 
Back
Top Bottom