Glue
Senior Member
- Jan 14, 2011
- 156
- 49
umemuona hata haeleweki eti ni ajali, na anasema watu warejee majumbani na watulie.
si ndo hapo, watu warudije hom wakati nyumba zinawaka moto. Pia hawajui milipuko itaisha saa ngapi. Huu si upotoshaji!
umemuona hata haeleweki eti ni ajali, na anasema watu warejee majumbani na watulie.
Hao waandishi wa habari probably ndio guests wanaochungulia hapo chini ili wapate News kiulaini...I suppose!..
Ila cha ajabu ni kwamba TV zimekomaa na matangazo ya kawaida...hawaonyeshi kitu zaidi ya sentensi za kuflash pale chini!
Umeona eh?? hata wanavyosema watanzania tuvumilie mgawo n9 kwa kuwa wao hawauexperience hata kidogo so hata uchungu wa mabomu haya hawaujui kabisa .... kwao ni kama kibaka achomwaye moto wanaona ni kama vile mbwa au paka alogongwa na gari usiku.......hawakawiio kuuliza kwa nini atembee usiku............kesho utasikia wakijitetea kuwa ni kosa la wananchi kujenga karibu na kambi ya jeshi...............sijawahikuichukia nchi yangu kusema ukweli kwa lililotokea leo.................seriously have to think twice bout this f.u.c.k.e.n. government.Pumbavu..... wakatulie ma mamyake.... yeye kawekwa huko sijui wapi mgao wa maji /umeme/mabomu haujui adai watu watulie.....
Katika kozi zake zooote alizopita, alisikia wapi watu wakisikia mabomu wanatulia, that says it all about his knowledge na kazi yake:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
<br />KOVA kupitia ITV anasema eti ni ajali tuu,watu wasizagae warudi majumbani!huku shimbo anasema 10km radius kusiwe na watu!tushike lipi tuache lipi?
hivi kama JWTZ imeshindwa kuhifadhi mabomu ya kawaida vp kama wangemiliki WMD, kwa hali hii nchi yote si ingeteketea?
Ahahahahaaah!! Kweli kabisa..Hao waandishi wa habari probably ndio guests wanaochungulia hapo chini ili wapate News kiulaini...
yaani, mengoja kama kuna ripoti yyt...bila bila. ngoja nilale tuHizo ni TV au Vent za MAFISADI??
Wao hawatafuti habari wanasubiri kuletewa ili wazitangaze.
Hao waandishi wa habari probably ndio guests wanaochungulia hapo chini ili wapate News kiulaini...