Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

182206_1881690287402_1395670502_2174761_531452_n.jpg


180813_1881692887467_1395670502_2174762_6950439_n.jpg


184888_1881697927593_1395670502_2174772_3937760_n.jpg


182067_10150089022123002_515778001_6174355_1090387_n.jpg


183824_1817068622959_1127403497_32174706_3027822_n.jpg


184171_152596274798824_100001453577393_319952_8277034_n.jpg


181772_10150418029470525_544075524_17445809_4874207_n.jpg


Source: Various sources
 
Kafara zaidi. Majini ya Kikwete, Makamba na Gharib lazima yashibe damu.
 
Mtu mmoja kafa na zaidi ya 40 wamejeruhiwa, redio one!
 
latest update toka Radio one.

mtu mmoja amafariki, watu zaidi ya 40 wamejeruhiwa.

Uwanja wa ndege mwalimu Nyerere umefungwa.
 
...Details pliiiiz!..

KHALI NDIO HIYO,Wananchi tukae mbali sana na maeneo ya jeshi kwani yanahatarisha maisha yetu kwa ujumla,ikiwa ni serikali haitilii maanani usalama wa raia au bahati mbaya nani ajuae,kwa taaluma yangu ya mambo haya ya milipuko si vema vitu hivi vikahifandhiwa karibu na waishipo raia.Tusubiri tusikie wangapi wamepoteza maisha na waliojeruhiwa.Pia serikali yetu inasemaje juhusiana na janga hili.
 
Wanajeshi nao wameamua kufisadi nchi kutokea mezani kwao.

Siamini kabisa kwamba hii ni bahati mbaya. Miripiko hii imeanzishwa kwa makusudi kabisa katika jitihada za kuficha ukweli wa mambo.


Theory number 1-Fedha za kununulia Silaha wametia ndani, au hawakununua kabisa au wamenunua kidogo ili kuficha wizi na ubadhirifu wameamua ku anzisha moto na kuteketeza kila kitu.

Theory number2-Silaha nyingine wameuza huko Congo na South Sudan. Kuua so wameamua kuyaunguza ili kufuta ushahidi.
Jeshi letu JWTZ limejihusisha sana na migogoro inayozunguka Tanzania kwa kufanikisha biashara haramua ya silaha.

Theory number 3- Katika hatua ya kujikita zaidi kwenye ulingo wa Siasa za Kiharamia Edward Lowassa na Rostam Aziz wamechukua sehemu kubwa ya Bunduki, Risasi na Mabomu ili kuimarisha MAFIA yao tayari kutwaa kiti cha Urais mwaka 2015 na kujenga Himaya ya MAFIA Tanzania.

DUDE linazidi kupata nguvu.

Mmh!
 
Mtu mmoja amefariki, arobaini mahututi, nyumba zinaungua, familia zimetawanyika, source radio one
 
Baada ya tuzo ya DOWANS kupingwa na wananchi na watanzania ..sasa serikali ya CCM imeamua kuja na staili nyingine mpya kwa kubuni mbinu ya kupata fedha za kuwalipa wafadhili wa uchaguzi uliowapa ushindi wa utata..

sisiem kwa kutumia high profile conspiracy ya Gen. wa jeshi na kada wa chama Mtukutu Shi... m..bo wamelipua ghala la mabomu huko Gongo la mboto kwa makusudi ili waanzishe mfuko wa maafa watakao utumia kama chanzo cha mapato mbadala wa DOWANS

nimemaliza...

source: personal school of thought and analytical thinking
 
Mkuu wa mkoa anasema wananchi watulie

Hospitali za Amana na Temeke kushughulikia majeruhi.
 
Tetesi: Kesho asubuhi bungeni, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Rais Mtarajiwa na Waziri Mkuu Shujaa, Edward Ngoyai Lowassa, atatoa taarifa kuhusiana na tukio la Mbagala na kutaka Waziri wa Ulinzi na JKT, Dk. Hussein Mwinyi ajiuzulu na uchunguzi wa kina ufanyike haraka wakati kamati yake inaunda Kamati Ndogo ya Uchunguzi itakayoongozwa na yeye mwenyewe.
 
Hospitali mbili zimetengwa kwa ajili ya kupokea majeruhi. Uwanja wa mwalimu nyerere wa ndege umefungwa.
 
poleni sana wakazi wa gongo la mboto.
Baada ya hili tukio,kiongozi wa JEshi anayehusika na usimamizi wa Silaha Awajibishwe. Mbagala ilikuwa funzo,jeshi linatakiwa litunze silaha kwa uangalifu mkubwa mmno,pia wanaotunza silaha maslahi yao inabidi yaboreshwe ila kazi ithaminike.

tuombe mola wasife watu kutokana na haya mabomu

Watu wamekufa wengi mkuu. OLE WAKE KIKWETE AKAE KIMYA, ATAONA CHA MTEMA KUNI.
 
UZEMBE TU HUU. kWA NINI TAHADHARI HAIKUCHUKULIWA KUTOKANA NA MAAFA YA MBAGALA?
 
Jamani hizi TV zetu as if hakuna kilichotokea wenyewe ni mamuvi tu na masoap operas, kama hakuna uwezekano wa kupata picha hata sauti tupu inatosha, hakuna mwenye akili timamu anaweza kuenjoy muvi na soap opera saa hizi! we want to know whats going on right now, kucopy na kupaste kumezidi

Kama Tido Muhamdo angekuwa bado yupo kama Mkurugenzi wa TBC, tayari tungekwisha onyeshwa LIVE tukio hili.
 
Wamenunua mabomu mengi kwa ajili ya uchaguzi...haya sasa hawana pa kuyaweka yanatuulia ndugu zetu, CCM washenzi
 
Namuona Kamanda Kova "live" EATV akiwataka wananchi wa Dar kutulia majumbani mwao na waliondoka makwao wanaombwa kurudi kwenye makazi yao.
 
Back
Top Bottom