Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

pOleni sana ndugu na jamaa mulioathirika!
This time angalau wakubwa waonyeshe uungwana kwa kuwajibika!
 
OMG...poleni sana ndugu zangu mlioko nyumbani Tanzania......CCM must go now...Yes i say it...haina haja ya wao kubaki madarakani..
 
this is serious!
Nina ndugu zangu kibao maeneo ya Gongolamboto, Kipunguni na Ulongoni....Simpati hata mmoja!
Pole sana ni ishu ya network labda, na wengine huenda wamepoteza simu!
 
UZEMBE TU HUU. kWA NINI TAHADHARI HAIKUCHUKULIWA KUTOKANA NA MAAFA YA MBAGALA?
Mkuu, uzembe wa namna hii inabidi uvumilie tu kwenye hii nchi ya kifisa na kishikaji..kwa sababu kunapotokea uzembe kama huu wanachekeana tu hakuna mtu anaewajibishwa..
 
Eti wawajibishwe......Chenge alipatikana na kesi ya RADA, akapatikana na kesi ya kuua huku akiendesha gari lisilo na bima.................sijui leseni ..na bado ni kiongozi, haya na tuendelee kusubiri wawajibishwe wahusika wa Mabomu haya, tutasubiri hadi Milele, na tutakufa bila kelele......... am off
 
Anajuaje ni ajali wakti hata uchunguzi bado???

Mambo ya JWTZ Polisi anayajuaje kirahisi namna hiyo??

Sisi Watanzania kama hatuwezi kusimama kidiete na kuwaondoa hawa mahabithi wa CCM na vibaraka wao ndani ya Polisi na Jeshi, wataendeleaa kutufanya tupende tusipende.

Kamanda wa polisi,Kova ametoa tamko juu ya mabomu yaliyolipuka gongo la mboto,na kusema ni ajali 2,na uchunguz unaendelea kufanyika!wa2 wa2lie majumban mwao
 
Inakuwaje mbona ni jamaa zetu wa usewahilini tu ndio wanaokufa, kujeruhiwa na kupotelewa na wapendwa wao?
Mbona Masaki Mikocheni hakuna majanga ya asili kama haya?
God forbid!
 
Nina marafiki na ndugu Gongo la mboto mungu tusaidie simu zao hazipatikani duh
 
Kova yupo laivu itv, anasema watu watulie na warudi majumbani mwao! Anasema ni ajali.

Kova anasema watulie majumbani, Mkuu wa mkoa anasema waelekee Tazara na Pugu kajiungeni.....hapa kuna umakini kweli? Hivi hata hayo matangazo wanayapataje wakati hawana umeme?
 
Kama kawaida anatoa majibu rahisi kutetea uzembe mkuu. Na atayaacha mabomu yaendelee kubaki mjini.
 
There are currently 1171 users browsing this thread. (297 members and 874 guests)

 
umemuona hata haeleweki eti ni ajali, na anasema watu warejee majumbani na watulie.

Pumbavu..... wakatulie ma mamyake.... yeye kawekwa huko sijui wapi mgao wa maji /umeme/mabomu haujui adai watu watulie.....
Katika kozi zake zooote alizopita, alisikia wapi watu wakisikia mabomu wanatulia, that says it all about his knowledge na kazi yake:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Hiii Hiii hiiii!

Hatuna zana za kuzima moto wa kuni na makaratasi, tunaweza kuzima moto wa TNT na mafuta???

Wanazima kwa viganja??

Dr Hussein mwinyi ametangaza kupitia clouds fm kwamba ni magala ya mabomu ndo yamelipuka na sasa wanadhibiti moto usiendelee maeneo mengine
 
hivi kama JWTZ imeshindwa kuhifadhi mabomu ya kawaida vp kama wangemiliki WMD, kwa hali hii nchi yote si ingeteketea?
 
Pole sana ni ishu ya network labda, na wengine huenda wamepoteza simu!
I suppose!..
Ila cha ajabu ni kwamba TV zimekomaa na matangazo ya kawaida...hawaonyeshi kitu zaidi ya sentensi za kuflash pale chini!
 
kova na zombe hawana tofauti wamezaliwa na shetani mmoja mwenye wake wawili hivyo ni watoto wa shetani lakini mama mbali mbali
 
Back
Top Bottom