Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

kama Rais amehaidi kuwa incident kama ya mbagala haitatokea kwa kuchukua hatua za msingi maana yake hiyo ni amri kwa watendaji na ikijirudia nini kifuate.tunafanya mzaha na dhana ya kuwajibika na haiishii hapo tu na kuwajibishwa kisheria.hili tukio lazima wabunge WOTE bila kusita kuipa serikali cku 7 kuwawajibisha waliozembea wote bila kujali cheo na itoe taarifa kwa bunge kupitia PM.Huu ni mzaha kwa watz masikini,wapole,na wasikivu.narudia tena huu ni MZAHA jamani.
 
Tangu mwanzo wa dunia ajali ya magala ya mabomu kulipuka ilishawahi kutokea kweli? Na hasa ilishawahi kutokea katika nchi moja mara mbili?

Kama mkuu wa nchi anajichekesha mbele ya wananchi wenye umaskini jeshi litakuaje?

Poleni sana jamani nduguzetu. NAOMBA MLIYOKO DAR MTUJUZE KAMA MABOMU BADO YANAENDELEA, MAANA MIMI BADO NDUGU ZANGU SIWAPATI KWA SIMU...
 
Leo nilikuwa airport Dar, as we took off niliangalia nje nikamwambia a friend, hebu angalia hizo nyumba zilivyobanana, hakuna hata barabara. Akanijibu, hiyo ni neck-to-neck wala sio back-to-back. Nikajisemea kwa sauti ukitokea moto inakuwaje? Au mtu akitaka kuimaliza Dar anapiga mabomu hapa watu watakufa sana. Ni masaa matano yamepita imetokea exactly nilichohofia. Viongozi wameiona hiyo hali mara ngapi wakisafiri?

Ni hatua zipi tutachukua? Majanga haya ni ya kujitakia.
 
Huyo boya mkubwa ngonja kesho ndio watasema vizuri. Af nadhani usiku huu watakusanya maiti kimyamya kupoteza ushahidi sababu watu wengi wamedanja.
 
Pole sana mtanzania mwenzangu. Familia yangu imekimbilia kijichi. ishu ni ulinzi wa mali zetu.
 
Tukio kubwa kama hili hapa hapa Dar hamna 'breaking news' wala coverage yoyote HATA kwenye televisheni ya taifa-TBC jamani hii siyo aibu kubwa!
 
Jamaa kaongea pumba ITV nimeona youtube.....

Ati watu warudi majumbani, ulisikia wapi mabomu yakilipuka watu wanarudi nyumbani....!!! some1 remind if am mistaking this...!
Mi nilifikiri jamaa kasomea ujeshi so anajua namna zote za kudhibit au kujilinda etc etc......!!!
Habri zake na za mkuu wa mkoa pamoja na Jeshi haziendani....!! kama kawaida mzee wa kukurupuka :clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Jamani mwenye mtu up to date kuhusu hizi mabari mabomu kwani wengine tunafmilia huko G. la Mboto. Mungu atawaepusha na maafa haya.
 
Hii ya watu kufa kwa kugongwa na magari ndio mbaya zaidi.
 
Tukio kubwa kama hili hapa hapa Dar hamna 'breaking news' wala coverage yoyote HATA kwenye televisheni ya taifa-TBC jamani hii siyo aibu kubwa!

Mazeee..... thats TZ for you, yaani hakuna mtu yoyote yule mwenye hata upeo wa kuweza kulifikiri hili ITV,TBC,CH10,STarTV,CloudsTV,TVZ etc etc AIBU kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nchi ina viongozi wajinga sijapata ona! Ilishatokea mbagala na leo tena! Nyinyi viongozi wa tz ni wajinga ajabu!
 
Huyo boya mkubwa ngonja kesho ndio watasema vizuri. Af nadhani usiku huu watakusanya maiti kimyamya kupoteza ushahidi sababu watu wengi wamedanja.
pEMBE LA NG'OMBE HALIFICHIKI!
Binadamu aliyekufa hafichiki, hata ukimficha ukiwa peke yako, giza litakusemelea!
Na je wakifanya hivyo, wenye ndugu naO watakauka?
 
Jamani mwenye mtu up to date kuhusu hizi mabari mabomu kwani wengine tunafmilia huko G. la Mboto. Mungu atawaepusha na maafa haya.

Habari za hivi punde kutoka pande za Chanika ni kwamba mambo yametulia kidogo
 
STUPID TELEVISION STATIONS za Tanzania!!:angry::angry::angry:!! Yaani mpaka sasa hivi, masaa zaidi ya ma2 baada ya tukio, hakuna kituo chote chote cha TV ambacho kimeona umuhimu wa kwenda eneo la tukio na kutuletea habari LIVE hadi wapate ruxa kutoka kwa MABWANA zao?? Vina kazi yakutuonyesha mheshimiwa sana Sule Kova na Kitambi chake??? Halafu kesho vinakuwa na jeuri ya kutamba kuwa Vipo Huru??? I really hate the mafisadiz of our Country!!
 
Mazeee..... thats TZ for you, yaani hakuna mtu yoyote yule mwenye hata upeo wa kuweza kulifikiri hili ITV,TBC,CH10,STarTV,CloudsTV,TVZ etc etc AIBU kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kibonde kauchuna pia? Clouds FM mko wapi?
 
Back
Top Bottom