Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Si mnaona Libya tayari kinaanza kueleweka bado mkwere tu ye ndo kwaanza anatafuta pozi kuwatuliza kuwa wasijaribu kuiga wenzao wa Tunisia,Algeria,Egypt na Lybia.

Huyu mkweer ni siku mbili tuu, tunamrudisha chalinze kwake.
 
Jamani hizi TV zetu as if hakuna kilichotokea wenyewe ni mamuvi tu na masoap operas, kama hakuna uwezekano wa kupata picha hata sauti tupu inatosha, hakuna mwenye akili timamu anaweza kuenjoy muvi na soap opera saa hizi! we want to know whats going on right now, kucopy na kupaste kumezidi
Yaani hata mimi nashangaa, movie za nini saa hizi. Badala ya kutupa kinachojiri!
 
Wakuu habari za sikuu kuu. Jamani kuna milipuko Kama ya mabomu inalipuka. Mi nipo ukonga. Mpaka sasa kuna miale ya moto. Labda watu husika wangechukua tahadhari Kama ndege zinazotua

yaani uko ukonga hujakimbia, umetufunga kamba maana nimetoka airport watu wote wanakimbia toka huko ina maana wewe huogopi
 
Eeh! Mungu uwanusuru watoto, wazee, walemavu na watu wako wote na hayo mabomu.

Shimbo! Vipi ukupata taarifa za kiintelenjinsia kuhusiana na hayo mabomu kabla ya kudhuru ndg zetu?

Mkono wa Mungu ukasimame, ili wazembe wawajibishe, wanadamu wakiwaogopa, basi w
Wewe Mungu uingiliye kati, kwani mambo tunayoyashuhudia ndani ya taifa letu yanahitaji ujasiri wa kuyashughulikia, na Wewe unaweza. Tulowapa dhamana wana hofu na wanadamu, wamesahau kuwa upo Mungu mwenye wivu. Yashughulikiye, ili watu wako wasijetenda dhambi ya kukata tamaa. Naambiwa hiyo dhambi haina msamaha, basi kuliko watu wako kutenda hiyo dhambi, ni bora uwashughulikiye hao wazembe.


Hii Sala inatokana na kuomba Mungu aepushe maafa yatokanayo na milipuko ya mabomu!!

Mbona wizi wa akina Lowassa na Rostam madhara yake ni mara millioni ya milipuko ya Mabomu haya!
 
Tuambieni kinacho endelea huko jamani. Naona yametulia sasa
 
Jamani ati nasikia gereza la Ukonga limebomoka na wafungwa wamesambaratika "sina uhakika na hii habari" je hebu mtu atupe undani wa hili zaidi...!
Mmmh! Labda.....
 
Kila jambao baya likitokea utawasikia wanasema CDM hao ndio wahusika bila hata kuchunguza si ajabu akaja mtu na maneno hayo
 
Mungu akulinde mpendwa. Sikia hii,MHE.SPIKA HAWA CDM WAMEZIDI, WAMEONA TUMEWADHIBITI KUCHOCHEA MAANDAMANO YA RAIA, WAMEANZA KUCHOCHEA MAANDAMANO YA MILIPUKO YA MABOM GHALANI! C.C.M wataitikia :kweeeeliiii tuwatenge.

Called a joke maker or a great thinker? mungu wasaidie watanzania
 
Originally Posted by [B said:
akajasembamba[/B]
Jamani hizi TV zetu as if hakuna kilichotokea wenyewe ni mamuvi tu na masoap operas, kama hakuna uwezekano wa kupata picha hata sauti tupu inatosha, hakuna mwenye akili timamu anaweza kuenjoy muvi na soap opera saa hizi! we want to know whats going on right now, kucopy na kupaste kumezidi!


Yaani hata mimi nashangaa, movie za nini saa hizi. Badala ya kutupa kinachojiri!


That says it all about tz tv............ Useless Mo********cks
 
Pakacha likivuja nafuu kwa...........

Ukuhulula kwa Limbali ikiba kwa mutegudzi. Kinyalu

Jamani ati nasikia gereza la Ukonga limebomoka na wafungwa wamesambaratika "sina uhakika na hii habari" je hebu mtu atupe undani wa hili zaidi...!
 
mabomu yanalipuka gongo la mboto polisi....

Taarifa zaidi kufuatia.

updates: (by invisible)


6. Picha ya tukio kwa mbali sana...

obhbd.jpg


183908_188361264530414_100000696254336_536897_2719650_n.jpg


184277_188361657863708_100000696254336_536909_7097881_n.jpg
mji umekuwa kama iraq au afghnastani
 
Mimi niko mtoni kijichi ninaona miale ya moto na mitikisiko havi nyumba inavibrate, Taarifa za uhakika ni kuwa mabomu yanalipuka kambi ya Jesjhi Gongolamboto.
Shimbo alikemea wakati wa uchaguzi kazi isiyokuwa yake yeye ndie mnadhimu mkuu walijifunza nini mbagala na leo kumetokea nini? Mwamnyange, Shimbo na waziri wenu hii ndio kazi yenu. Mnatakiwa kuachia ofisi za umma mara moja kwa kusababisha Maafa, Hasara na usumbufu kwa watu.
Anayetakiwa kuwajibika this time ni yule aliyeshindwa kuwawajibisha baada ya milipuko ya Mbagala.
 
Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi....

Taarifa zaidi kufuatia.

UPDATES: (by Invisible)

1. Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo!

2. Barabara ya Nyerere haitembei (kama unafikiria kwenda uwanja wa ndege ahirisha mapema), magari yameingiliana watu wanakimbia ovyo mitaani na barabarani kulikimbia eneo la maafa.

3. Dalili zinaashiria mabomu ni mengi zaidi na milipuko itaongezeka, kuna uwezekano wa kupoteza raia na watumishi (wanajeshi) wengi kufuatia milipuko hii

4. Watu kadhaa wamekufa kwa kugongwa na magari

5. Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Abdulrahman Shimbo amesema:

"Hali ni mbaya Kikosi namba tano maghala yamelipuka ni hatari, watu wahame, maghala yako karibu karibu sana, tunaomba wananchi wahame sasa hivi, tunajitahidi kuzuia moto unaotokana na hilo unaweza kwenda mbali sana hadi Kilomota kumi, wananchi walioko karibu na maghala ya kikosi Gongo la Mboto wasogee mbali sasa hivi.

6. Picha ya tukio kwa mbali sana...

obhbd.jpg


183908_188361264530414_100000696254336_536897_2719650_n.jpg


184277_188361657863708_100000696254336_536909_7097881_n.jpg

mhhh...jamani utafikiri war in Iraq, siku zile marekani wameanzisha......! kweli Mungu warehemu ndugu zetu jamani!!!
 
Jamani naomba kuulizia hali za watoto wa PUGU secondary ikoje coz hiyo shule huwa inapakana kwa karibu na eneo hili la jeshi, sasa sipati picha wale watoto watakuwa katika hali gani.
 
Radio One:
One confirmed person dead
Air port is closed
 
Yaani hata mimi nashangaa, movie za nini saa hizi. Badala ya kutupa kinachojiri!
Kinachojiri watakipata wapi.... ?, hawa waandishi wote ni part timers.., hakuna jasiri wa kwenda kutafuta habari
 
Back
Top Bottom