Get Well Soon Kipipi

Get Well Soon Kipipi

unatafuta kufia kwenye kidonda au unataka kutufungisha ndoa ya mkeka na mtu.......

Usibabaike na uzee wa hii bodi, injini ni nzima ni hakuna mfanowe, inapiga kazi 24/7
 
mmmh! Asnam kaa mbali na huyu mtu

Hivi umbea ni trait ya ukoo wenu... dingi yako anasifika kwa kusutwa naona na wewe mtoto unafuata nyayo.... shauri yako mtoto wa kiume, Zinduna ana kanga mpya anasubiri tu wa kumvisha...
 
Last edited by a moderator:
Usibabaike na uzee wa hii bodi, injini ni nzima ni hakuna mfanowe, inapiga kazi 24/7

hahahaha kaka Mentor mwenyekiti amenizimikia,ng'ombe hazeeki maini lakini ww nahisi yamebaki vipisi......
 
Last edited by a moderator:
cc Chocs please fanya kinachotakwia hapa
Hivi kwani kuna nini kati yenu?
Mbona hizi moves sizielewi elewi..!! Erickb52 em njoo huku unipe maelezo maana mara kifanyio mara sijui vipi...uje unambie unataka nini hasa
 
Last edited by a moderator:
Asnam shemeji yangu karibu chakula
 
Last edited by a moderator:
Huchelewi kuzima taa wewe...

wivu tu unakusumbua,kisa hujakaribishwa ww...........................hivi Erickb52 huyu mzee alikuwa koloni la nani.........si unajua wanawakeni jeshi kubwa tumuandalie mtego.
 
Last edited by a moderator:
wivu tu unakusumbua,kisa hujakaribishwa ww...........................hivi Erickb52 huyu mzee alikuwa koloni la nani.........si unajua wanawakeni jeshi kubwa tumuandalie mtego.

Mbona unaanza kuharibu sala wewe.... tulia bhana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom