unatafuta ban ww...........................mi ni shabiki wa Yanga sijui hiyo blackberry ndo vidudu gani....nakuona unavyotamani hata siku moja usikie nimekumiss lakini wapiiiiii loh badili mwelekeo :heh:
1. Baba V kimeo kama vimeo vingine
2. Dingi yako Mtambuzi haiitaji mahari, nikimpiga na mizinga miwili ya konyagi kwisha habari yake
3. Bill yako naimudu sana tu, Mtoto wa Mkendo na Tandale kwa mtogore hunishindi wewe
Funguka kijana1. Baba V kimeo kama vimeo vingine
2. Dingi yako Mtambuzi haiitaji mahari, nikimpiga na mizinga miwili ya konyagi kwisha habari yake
3. Bill yako naimudu sana tu, Mtoto wa Mkendo na Tandale kwa mtogore hunishindi wewe
Ah ule ulikuwa xtreme ukaguzi sasa nataka nikufanyie ukaguzi mpya kwa staili ya kabaaang.mi unikague mara ngapi ww,au umemiss ule ukaguzi ulivyokuwa babu kubwa.............
1. Baba V kimeo kama vimeo vingine
2. Dingi yako Mtambuzi haiitaji mahari, nikimpiga na mizinga miwili ya konyagi kwisha habari yake
3. Bill yako naimudu sana tu, Mtoto wa Mkendo na Tandale kwa mtogore hunishindi wewe
hubby nimeitika maana umeniita! kama ni kunywa tunywe popote hubby but not ambrosia! naogopa kukuta firigisi zangu zimetangulia mochware! mi luv u hubby! Asprin!Mi staki kucheza tena na wewe. Una mikono michafu kama Paulo. Btw umenionea wapi cacico? Mwambi nimemmisi kama nlivoimisi keki ya harusi yetu
HahahahaaaWe twiga umevurugwa eeh..!!! ngoja nilonge na ummu kulthum tukurekebishe akili ikukae sawe, kufungwa mbili tu ndo umechanganyikiwa hivyo!?
Copy: watu8