Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo


strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,836
Points
2,000
strugo

strugo

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,836 2,000
Hiyo bei toka mwezi wa 5 wew ndo unajua leo
 
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,951
Points
2,000
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,951 2,000
Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Hivi gesi ya Mtwara imeishia wapi jamani?mkaa juu gesi juu tena gesi ipo mtwara itabidhi tuamie kwenye mabox kupikia.
 
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
5,261
Points
2,000
Age
28
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
5,261 2,000
Mbona gesi tunanunua 22,000/= hapa hapa Dar mwaka wa nne huu
 
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,951
Points
2,000
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,951 2,000
Mkuu kwa wale tunatoka kufungua viwanda kwa kutegemea nishati ya gesi tunafanyaje hapa!
Itabidi turudi kwenye Steam Engine aka Injini ya mvuke kuendeshea viwanda.
 
Anakuja Yesu

Anakuja Yesu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Messages
578
Points
500
Age
28
Anakuja Yesu

Anakuja Yesu

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2017
578 500
Tutaendelea kutumia kun maadam zinapatikana kwa bei rahisi zaid
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
108,760
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
108,760 2,000
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Tunarudi kwenye matumizi ya mkaa kwa kasi... Zile kelele kwamba gesi yetu itakuwa mkombozi zilikuwa ni hadithi za kufikirika na siasa Makinikia
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,614
Points
2,000
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,614 2,000
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Bei ya jumla bei gani?
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
42,619
Points
2,000
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
42,619 2,000
Mbona gesi tunanunua 22,000/= hapa hapa Dar mwaka wa nne huu
Mlikuwaa mnapigwaaa polenisana mpwaa ujaona frame ziko nne kilammoja analipa beiyake na ukubwauleule..wenzio tumeuza 19
 
goodfool

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
1,524
Points
2,000
goodfool

goodfool

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
1,524 2,000
Gesi bei juu, Sukari ilikuwa 5000 sasa....
 

Forum statistics

Threads 1,284,090
Members 493,941
Posts 30,812,634
Top