Hivi gesi ya Mtwara imeishia wapi jamani?mkaa juu gesi juu tena gesi ipo mtwara itabidhi tuamie kwenye mabox kupikia.Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Itabidi turudi kwenye Steam Engine aka Injini ya mvuke kuendeshea viwanda.Mkuu kwa wale tunatoka kufungua viwanda kwa kutegemea nishati ya gesi tunafanyaje hapa!
Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Me naona inakuwa njia ya kupiga kampeni halafu akishapita utekelezaji zero.Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
hii nchi ukifuatilia sana kichwa kinaumaHivi hii ile gas ya mtwara vipi!?
Tunarudi kwenye matumizi ya mkaa kwa kasi... Zile kelele kwamba gesi yetu itakuwa mkombozi zilikuwa ni hadithi za kufikirika na siasa MakinikiaFuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani
Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000
TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Mpaka tuwe mashetani mwaka huu
.....na ukaamini??Wakati wa kampeni tulihakikishiwa kuwa gesi haitapanda bei
Bei ya jumla bei gani?Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani
Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000
TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI