Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
41,220
Likes
9,283
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
41,220 9,283 280
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
 
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
571
Likes
411
Points
80
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
571 411 80
Poa poa natumia butane
 
Mjomba Itufae

Mjomba Itufae

Senior Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
170
Likes
184
Points
60
Age
39
Mjomba Itufae

Mjomba Itufae

Senior Member
Joined Dec 6, 2016
170 184 60
Hiyo bei sisi huku tabora ilianza mwez wa pili mwaka huu. Na mtungi mkubwa 54,000 na mdogo 23,000
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,116
Likes
14,883
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,116 14,883 280
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Ile gesi ya mtwara bomba lake linavuja au?

Kweli uchumi wa vi-wonder unaimarika
 
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Messages
1,500
Likes
1,247
Points
280
CaptainDunga

CaptainDunga

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2009
1,500 1,247 280
Hakuna namna ngoja tuanze kutumia gesi ya kinyesi cha ng'ombe tuu.
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,255
Likes
2,412
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,255 2,412 280
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
umepandisha bei wewe huku kwetu hawajui
 
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,396
Likes
1,780
Points
280
Age
40
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,396 1,780 280
Nchi imeuzwa kwa mamluki wa UKABILA!JK hafai hata bure
 
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,015
Likes
9,380
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,015 9,380 280
Tutaanza kupikia mabura na kuni hamna namna na mafuta ya taa
 
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,592
Likes
2,644
Points
280
Cowman

Cowman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,592 2,644 280
Mkuu kwa wale tunatoka kufungua viwanda kwa kutegemea nishati ya gesi tunafanyaje hapa!
 

Forum statistics

Threads 1,263,097
Members 485,791
Posts 30,142,571