Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Tunarudi kwenye matumizi ya mkaa kwa kasi... Zile kelele kwamba gesi yetu itakuwa mkombozi zilikuwa ni hadithi za kufikirika na siasa Makinikia
 
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani

Kg 15 =51"000 badala ya 47"000
KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000

TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
Bei ya jumla bei gani?
 
Mbona gesi tunanunua 22,000/= hapa hapa Dar mwaka wa nne huu
Mlikuwaa mnapigwaaa polenisana mpwaa ujaona frame ziko nne kilammoja analipa beiyake na ukubwauleule..wenzio tumeuza 19
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom