Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo


djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,091
Likes
1,913
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,091 1,913 280
Anyway sijawahi kutumia gesi napikia maranda ya mbao gunia buku mbili wiki
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,091
Likes
1,913
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,091 1,913 280
Kwani umeme siku hizi hautumiki kupikia?
 
B

bhachoneghe

Member
Joined
Feb 9, 2017
Messages
53
Likes
36
Points
25
Age
49
B

bhachoneghe

Member
Joined Feb 9, 2017
53 36 25
Ambaye ges imejaa tumboni anitafute nifike bei labda itaku nafuu.
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,077
Likes
38,899
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,077 38,899 280
Ngoja nimnunulie bi mkubwa kbs kabla haijapanda zaidi
 
U

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Messages
541
Likes
461
Points
80
U

uajekundu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2016
541 461 80
Hivi hii ile gas ya mtwara vipi!?
Gesi ya mtwara sio hii tunayopikia...ile ili uweze kupikia inabidi isafirishwe kwa mabomba na hatujafikia huko bado labda miaka 100
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
6,507
Likes
10,528
Points
280
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
6,507 10,528 280
jingalao
cocochanel

hawa watakuwa namajibu wanapokeaga buku saba saba lumumba. watakuwa wamedokezewa sababu za kupanda gas.
na kwanini ipande wakat kuna gas ya mtwara.
 
U

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Messages
541
Likes
461
Points
80
U

uajekundu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2016
541 461 80
Mkuu kwa wale tunatoka kufungua viwanda kwa kutegemea nishati ya gesi tunafanyaje hapa!
Gesi ya mtwara ipo na inatumbika viwandani kama tcc na wazo hii na vinginevyo
 
AKASINOZO

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Messages
616
Likes
819
Points
180
AKASINOZO

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2016
616 819 180
Nyie mnao lalamikia kuwa gesi imepanda ndo mlikuwa wapiga dili na marafiki wa mafisad na waujumu uchumi 'nitarara na nyie mbere kwa mbere"
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,268
Likes
5,254
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,268 5,254 280
Mlimchagua wenyewe
Dah.....Dadeki .... Bora ya huyu mara elfu.....angekuwa yule mbona ingekuwa kiyama.....Mwendokasi tu walitaka iwe buku2 unusu
 
Dhul

Dhul

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
287
Likes
157
Points
60
Age
31
Dhul

Dhul

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
287 157 60
Wamikoani ndo bei tunayo nunua na kama imepanda tena sisi tunanunua alfu 23 kama kipindi cha nyuma
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,410
Likes
798
Points
280
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,410 798 280
Tusijali oman wazir wao wa mafuta na gesi alisema bandar ya bagamoyo watajenga na wataleta mafuta nadhani bandari tanga tuongee na mzee walete na gesi pia
 
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,752
Likes
838
Points
280
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,752 838 280
Kupandisha bei ya gas ni mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali (japo wanajua) kuwa wanaua misitu kwa kuongeza matumizi ya mkaa na kuni.
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,410
Likes
798
Points
280
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,410 798 280
Naanza kummic muhongo kidg alikua analeta maigizo ya gesi mtwara sasa anakuna mwenye kipaji cha kuigiza
 

Forum statistics

Threads 1,273,798
Members 490,485
Posts 30,492,565