Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo


valuablecock

valuablecock

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Messages
783
Points
1,000
valuablecock

valuablecock

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2013
783 1,000
Wakati wa kampeni tuligakikishiwa gesi haitapanda bei
Sidhani kama mpiga push ups anakumbuka ahadi zake.Yupo busy na uzinduzi wa viwanda.Hivi yule jamaa wa Muleba alisema vyerehani vingapi vinatosha kuwa kiwanda??
 
chinekeeee

chinekeeee

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Messages
1,721
Points
2,000
chinekeeee

chinekeeee

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2015
1,721 2,000
ila naamini itashuka yale ma lpg tank ya kigamboni ngoja yaishe
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
4,183
Points
2,000
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
4,183 2,000
Upo sahihi kabisa mkuu. Nimetoka kuagiza hapa, nashangaa naambiwa ni 22000. Nikajua nimepigwa.

Ila acha ipande maana tumeambiwa huu wakati ni wa kupita tu
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,820
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,820 2,000
Mafuta ya taa nayo lita shingapi
 
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
2,039
Points
2,000
kinundu

kinundu

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
2,039 2,000
Mtanyooka... Hadi akili iwarudie
 
J

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
836
Points
1,000
J

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
836 1,000
Hii ndo Salaam yake kwenu kutoka kwa kiongozi wenu mtetezi wa wanyonge.
Na bado salaam zingine zitafuata.
Mpaka Maji muyaite Mmaa!!!
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Points
2,000
Age
34
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 2,000
Nchi ya viwanda inaenda vizuri sana
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
5,054
Points
2,000
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
5,054 2,000
Waziri wa Nishati yupo tu, huyu jamaa ameshindwa mapema sana
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
22,289
Points
2,000
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
22,289 2,000
Hakika tunanyooshwa, hata pasi ina afadhali, huu mnyoosho ni wa kiwango cha concrete.
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,188
Points
2,000
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,188 2,000
Alafu hili swali wala halitangazwi km mafuta linapanda na kushuka litakavyo.
 
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
9,077
Points
2,000
Avatar mok

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
9,077 2,000
Sasa kila siku nikiamka nakutana na pigo, hili jingine sasa, mkaa nao majanga....

Tuendelee kusubiri neema pengine itakuja!!

Vyuma kazika
 

Forum statistics

Threads 1,283,595
Members 493,717
Posts 30,794,355
Top