Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

ni nchi ya matamko hii,hii ndiyo sababu ya kutokuwepo kwa strong organ zinazo deal na mambo ya msingi.Kila kukicha ni siasa tu tena zisizo na taswira chanya.
 
Baaada ya kujadiliana waongeze bei jtatu ikashindikana.. Kwa pamoja oryx wameamua kuanzia leo tar 9/2/2017 gesi imepanda rasmi

Kg 15=52,000-53,000
Kag 6=21,500-22,000

Kila la kheri Mwananchi

Mh waziri wa nishati,

Kwa heshima na taadhima tunaamin upendo wako kwa wananchi uko pale pale.

Tunaomba ingilia kati hizi bei mpya zilizopandishwa kuanzia leo na watu wa gesi... Naamini hata kama ni kupanda kodi amjapandisha alf kumi kwa mtungi mmoja wa kg 15..Kwangu mm naamini huu n wizi

10"000 kwa mwananchi wa kawaida n hela nyingi sana ntashangaa kama mh waziri na wewe utakubaliana nao kwwnye hilo mihani naoo wanapandisha ijumaa mnatupeleka wapi wananchi....

Bado tunaamini amjateuliwa kwa makosa na n mapenzi ya Mungu kilio hiki kitakufukia na kufutilia mbali hizi bei zaoo
Duuh hii sasa balaaa jamani
 
Kumbe gesi nchini mwetu inauzwa bei ya juu sana, sijawahi kufikiria kwamba mtungi wa kilo 15 unafika 40,000
 
Kuna watu wanaimba "Tunaiona Tanzania tuitakayo inakuja"
 
Dah!hiyo bei huku zenjiberi ni ya kale ina maana nasi tuta uziwa kwa 62000 _63000?
Dear old reliable kuni na cousin wao mkaa here i come!
 
Kimsingi gesi kilo moja kwa hapa tanzania inapaswa kuuzwa kati ya sh 500-700 ila basi tu sijui ni laana gani tunayo
 
Nasoma msg imetumwa muda huu.. KUANZIA LEO TAR 11/2/17
Kg 15 wakala watanunua kwa sh 45"000 badala ya 46"000 na mdogo 18"000 badala ya 18"500

Watauza kg 15 kwa sh 51"000 badala ya 52"000 ya awali na ndogo 21"000 badala ya 21"500 ya awali

Tuendelee kupiga kelelee waziri husikaa hii ni dhahama kwa taifa masikini kama hili. Nina imani hamjawapindishia kodi ya kufikia kuongeza elfu tisa kwa mtungi wa 15kg. tunaomba sauti zenu zitumike kusaidia wananchi na sio kwenye umeme tu

Wenu
 
Nasoma msg imetumwa mdahuu.. KUANZIA LEO TAR 11/2/17
KG 15 WAKALA WATANUNUA KWA SH 45"000 BADALA YA 46"000 NA MDOGO 18"000 BADALA YA 18"500

WATAUZA KG 15 KWA SH 51"000 BADALA YA 52"000 YA AWALI NA NDOGO 21"000 BADALA YA 21"500 YA AWALI

TUENDELEE KUPIGA KELELEE WAZIRIHUSIKAA HII N DHAHAAAMA KWA TAIIFA MASIKINI KAMA HILII

NAIMANI AMJAWAPINDISHIA KODI YA KUFIKIA KUONGEZA ALF TISA KWA MTUNGI WA 15KG

TUNAOMBA SAUTI ZENU ZITUMIKE KUSAIDIA WANANCHI NA SIO KWENYE UMEME TU

WENU

TUMEIPENDAA WENYEWE

Wakala vs. Rejareja
 
Sijaelewa. ..bei imepanda au imeshuka?
OK mkuu

Tar 9 ILIPANDA
KG 15 -52"000
KG 6-21500
LEO WAMESHUSHA
KF 15-51"000
KG 6-21"000

TUENDELEE KULIAA MTASHUSHIWA ZAIDI
 
Imepanda sana!!

Tuliaminishwa kuwa gas yetu ikianza kuchimbwa basi bei itashuka, lakini bado inauzwa kwa bei zile za gas ya kutoka nje, kwanini tunakomolewa hivi, je misitu yetu itasalimika?
 
Back
Top Bottom