Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

bora kufa na tie shingoni kuliko kuhoji maana majibu ya mkulu utatamani umpige mwanae bashite😀😀😀
 
Ukizungumzia hili suala la gesi unaweza kudhani gesi tunatoa Malawi kumbe ni pale Mtwara.
Gesi ya mtwara ni natural gas na haifai kwa kupikia, gesi tunayopikia ni LPG (liquified petroleum gas), hii hupatikana kwenye nchi zinazozalisha mafuta tu.
 
Mimi natumia mtungi mkubwa. Mwezi wa kumi na moja nilinunua kwa 108000. Wiki mbili zilizopita ndio umeisha, nimenunua 115000.

-callmeGhost
 
Mbona sijaona au kusikia maelezo ya kupanda kwa gesi ya kupikia, naona EWURA wako kimya, huku mikoani gesi umetoka 47,000/- hadi 54,000/- mwenye habari yake ya kupanda kwa gesi ya LPG, atuwekee hapa.
Tunajenga flyover, tunanunua mapanga boi mengine Na uwanja WA chatu international unajengwa! Uchumi Unakua kwa 70%. Vumilie
 
Tunaomba waziri makamba na muhongo mtueleze kwanini mkaa ni iasue na gesi ya kupikia badala ya kupungua inazidi kupanda.
Ilitakiwa kuwa na plan ya street distribution ya gas pipes nyumba hadi nyumba kama ilivyo dawasco lakini mko kimya kutwa kwenye media mkionyesha makongamano hayatusaidii sisi wananchi.
Ombi hivi media mnapoonyesha watu wametoka lunch kwenye warsha na makongamano nayo ni habari?????
 
Mm nilijua huku kwetu tu.kumbe mote mtungi mdogo ni 425Mt sawa 14875Tsh
 
~~~Ngojeni tuendelee kuisoma namba taratibu.....
 
Na mkihoji hivi kupanda bei ya gesi ndio mnaharibu kasi...
Mlizoea ujanjaujanja....
 
Gesi na bidhaa nyengine ziko juu,mshahara uko pale pale,sometime sishangai kontena LA gari likiingizwa nchini kama kontena LA mitumba kwa kasi hii bila kuboresha maslahi ya wafanyakazi,kuwa na wtz wazalendo ni kazi
 
mkihoji sana mnaweza kuishia centro bora tukaushe huko ney wa mitego ameshanasa tayari!
 
Easa
Tunaomba waziri makamba na muhongo mtueleze kwanini mkaa ni iasue na gesi ya kupikia badala ya kupungua inazidi kupanda.
Ilitakiwa kuwa na plan ya street distribution ya gas pipes nyumba hadi nyumba kama ilivyo dawasco lakini mko kimya kutwa kwenye media mkionyesha makongamano hayatusaidii sisi wananchi.
Ombi hivi media mnapoonyesha watu wametoka lunch kwenye warsha na makongamano nayo ni habari?????

Kwa vikundi vya zima moto tulivyonavyo nadhani nchi itaungua yote siku ikitokea itlafu kwenye hayo mapipe yao.
 
Tunaomba waziri makamba na muhongo mtueleze kwanini mkaa ni iasue na gesi ya kupikia badala ya kupungua inazidi kupanda.
Ilitakiwa kuwa na plan ya street distribution ya gas pipes nyumba hadi nyumba kama ilivyo dawasco lakini mko kimya kutwa kwenye media mkionyesha makongamano hayatusaidii sisi wananchi.
Ombi hivi media mnapoonyesha watu wametoka lunch kwenye warsha na makongamano nayo ni habari?????
Vumilia mkuu ndiyo nchi za viwanda zilivyo.
 
Duh asante leo ndo ninejua kuwa gesi ya mtwara haitumiki kwa matumizi ya kupikia.

Lakini tulizoea kudekezwa na tawala zilizopita, acha atunyooshe.
 
Magazeti yangeandika" Watanzania wampongeza Rais na serikali yake kushusha bei ya gesi
 
Back
Top Bottom