Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

DAAH YANI NISHIDAA...NI MDA MFUPI TUU NIMETOKA KUGOMBANA NA MTEJA APA NAMWAMBIA BEI IMEPANDA YE ANADAI NAMWIBIA....MAISHA YATAKUA MAGUMU SANA
Pole ndugu yangu shida ni kuwa yanayosemwa ni tofauti na uhalisia
 
Sembe kiroba cha kilo 25 sh 40000/= gas nayo imeongezeka 1000 nzima haya hamuyaoni mnayaona ya cocaine tu okay
hiyo haituhusu tunaangalia zile biashara ambazo ni supernormal profit kama cocaine kwani ndio inatuweka mjini.. ngoja nikomae na redio kusikilizia epsode nyingine kwani starling mwenyewe katuhakikishia hii ni tamthilia na sio filamu..
 
Hahaaaaaaa na bado mpaka tupate akili.
Ccm mbele kwa mbele
 
Ivi hawa oryx gesi yao ina nini?
kwanini wana bei kubwa kuliko wengine na wanajaza sehemu moja?
 
Hayo tutayajadili baada ya upepo huu wa dawa za kulevya ukiisha maana hakuna atakayekusikiliza. Si unajua watanzania tena tunavyopenda kufuata upepo


Kwa hyo unataka kuniambia kuwa haya makampuni yana akili mingi sana,wameangalia upepo ukoje kwa sasa hv hapa nchini wameamua kusafiria nyota ya wahanga wa ngada wa makonda
 
Kupanda kwa gas= kuongezeka kwa matumizi ya mkaa na kuni=kuongezeka uharibifu wa mazingira=kupungua mvua=kupungua uzalishaji mazao= kupungua uzalishaji wa umeme wa maji=kuongezeka kwa gharama za uzalishaji=kupungua kwa uwezo wa wananchi kununua bidhaa=Viwanda na biashara kufugwa= watu kupoteza ajira=mfumuko wa bei=matumaini ya uchumi kukua kwa 7.2% kutoweka na kuwa story, Mh Mhongo, Mh Mpango wakati wa kupanga ni sasa, muache waongeze maji iwe uji ama mpunguze maji tule ugali. Nawakilisha
 
Manjindaniya central
 

Attachments

  • FB_IMG_1486627633555.jpg
    FB_IMG_1486627633555.jpg
    85 KB · Views: 41
Huu ni zaidi ya ungese, haaa.. waliambiwa wauza unga hawagusiki nchi itatikisika hawakuelewa, sasa yale mapato ya madawa ya kulevya yanafidiwa kutoka kwenye gesi. Watanzania TWAFA... tushangilie wakienda kituo cha polisi ila tukiingia ndani majukumu yatatuliza., kazi ipo.
 
Huu ni zaidi ya ungese, haaa.. waliambiwa wauza unga hawagusiki nchi itatikisika hawakuelewa, sasa yale mapato ya madawa ya kulevya yanafidiwa kutoka kwenye gesi. Watanzania TWAFA... tushangilie wakienda kituo cha polisi ila tukiingia ndani majukumu yatatuliza., kazi ipo.
Hizi akili za mateja taabu tu
 
Baaada ya kujadiliana waongeze bei jtatu ikashindikana.. Kwa pamoja oryx wameamua kuanzia leo tar 9/2/2017 gesi imepanda rasmi

Kg 15=52,000-53,000
Kag 6=21,500-22,000

Kila la kheri Mwananchi

Mh waziri wa nishati,

Kwa heshima na taadhima tunaamin upendo wako kwa wananchi uko pale pale.

Tunaomba ingilia kati hizi bei mpya zilizopandishwa kuanzia leo na watu wa gesi... Naamini hata kama ni kupanda kodi amjapandisha alf kumi kwa mtungi mmoja wa kg 15..Kwangu mm naamini huu n wizi

10"000 kwa mwananchi wa kawaida n hela nyingi sana ntashangaa kama mh waziri na wewe utakubaliana nao kwwnye hilo mihani naoo wanapandisha ijumaa mnatupeleka wapi wananchi....

Bado tunaamini amjateuliwa kwa makosa na n mapenzi ya Mungu kilio hiki kitakufukia na kufutilia mbali hizi bei zaoo
mbona huku kwetu kg 15 ni 55,000 tangia kitambo sana
 
Duhhh aiseeenyieehata Syria mnaweza ishii
mkuu we acha tuu, niliwauliza mihani vipi kuhusu bei ya gas kg 15 sehem fulani Wakaniambia hapo inatakiwa iuzwe kwa bei 'x'nikawauliza mbona tunauziwa bei 'y' wakanijibu mbona hata soda ya jero kuna sehemu inauzwa buku. Kuanzia hapo nikaanza ku mind my own businesses
 
mkuu we acha tuu, niliwauliza mihani vipi kuhusu bei ya gas kg 15 sehem fulani Wakaniambia hapo inatakiwa iuzwe kwa bei 'x'nikawauliza mbona tunauziwa bei 'y' wakanijibu mbona hata soda ya jero kuna sehemu inauzwa buku. Kuanzia hapo nikaanza ku mind my own businesses
HAJAAAA HUYOO JAMAA WA SODAA ANAAKILI NA M NILITAKA KUTOA MFANO HUOHUO UZURIWA MTANZANIA RAHISIANA KUZOEA SHIDA ZA DUNIA HATAHII BEIWATAZOEA TU
 
Na badoo itafika 60,000
Mpaka akili zitukae sawa
 
Back
Top Bottom