Gesi kupanda tarehe 6 Feb 2017

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017

Bei ya gesi zinapanda rasmi

Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15

Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000

Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei

Kila. La kheri February
 
Duuh aisee tutakufa.... Na Gesi ndio ilikuwa mkombozi wetu. Manake ile ya Kg 15 ilikuwa 43,000. Mkaa gunia ni 60,000...
 
MAWAKALA WA GESI WAMETUMIWA MSG LEO KUANZIA TAR SITA FEB
GESI ZINAPANDA RASMI

MOJA YA MSG INASEMA GESI KUBWA ITANUNULIWA 47"000 NA KUUZWA KUANZIA 52"000-53"000 TZS KWA
KG 15



KG 6
KUNUNULIWA SH 18"500 NA KUUZWA 21"500-22"000 TZS

TUNAOMBA WANANDUGU MSISHANGAE ONGEZEKO LA BEI MAANA NASI TUMEONGEZEWA BEI

KILA. LA KHERI FEBRUARY
Khaa. Watoe sababu basi hata za uong
 
Hivi gesi haina wadau ambao wanatakiwa wakae na kujadiliana kuhusu bei, EWURA na Muhongo msije mkakana kwamba hamna taarifa, Mara ya kwanza aliwaonea aibu likataeni hili.
 
Back
Top Bottom