Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

imefika sh ngapi mpaka sasa maana ilipanda sana na si gesi mafuta na mahitaji mengineyo naona bado yako juu sana
kwani anatupeleka wapi mjomba
 
Mimi natumia mtungi mkubwa. Mwezi wa kumi na moja nilinunua kwa 108000. Wiki mbili zilizopita ndio umeisha, nimenunua 115000.

-callmeGhost
duuh, ile theory ya malaika kua shetani naanza kuiona sasa😀😀😀
 
Watu wenye akili ndogo huwa na mawazo mafupi siku zote
Sembe kiroba cha kilo 25 sh 40000/= gas nayo imeongezeka 1000 nzima haya hamuyaoni mnayaona ya cocaine tu okay
 
Ni majanga juu ya majanga kwa mazingira
Kupanda kwa gas= kuongezeka kwa matumizi ya mkaa na kuni=kuongezeka uharibifu wa mazingira=kupungua mvua=kupungua uzalishaji mazao= kupungua uzalishaji wa umeme wa maji=kuongezeka kwa gharama za uzalishaji=kupungua kwa uwezo wa wananchi kununua bidhaa=Viwanda na biashara kufugwa= watu kupoteza ajira=mfumuko wa bei=matumaini ya uchumi kukua kwa 7.2% kutoweka na kuwa story, Mh Mhongo, Mh Mpango wakati wa kupanga ni sasa, muache waongeze maji iwe uji ama mpunguze maji tule ugali. Nawakilisha
 
Mnauza gesi bei juu huku mnataka watu waachane na matumiz ya mkaa!
Itawezekana kweli

Ova
 
Back
Top Bottom