Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Baaada ya kujadiliana waongeze bei jtatu ikashindikana.. Kwa pamoja oryx wameamua kuanzia leo tar 9/2/2017 gesi imepanda rasmi

Kg 15=52,000-53,000
Kag 6=21,500-22,000

Kila la kheri Mwananchi

Mh waziri wa nishati,

Kwa heshima na taadhima tunaamin upendo wako kwa wananchi uko pale pale.

Tunaomba ingilia kati hizi bei mpya zilizopandishwa kuanzia leo na watu wa gesi... Naamini hata kama ni kupanda kodi amjapandisha alf kumi kwa mtungi mmoja wa kg 15..Kwangu mm naamini huu n wizi

10"000 kwa mwananchi wa kawaida n hela nyingi sana ntashangaa kama mh waziri na wewe utakubaliana nao kwwnye hilo mihani naoo wanapandisha ijumaa mnatupeleka wapi wananchi....

Bado tunaamini amjateuliwa kwa makosa na n mapenzi ya Mungu kilio hiki kitakufukia na kufutilia mbali hizi bei zaoo
 
Wazirihusikaa yukoowapii sijaaminikabisa mnaongezeko LA alf nane+ mtungimmoja guy nwizi
 
Back
Top Bottom