Mkuu, ungefanya uchunguzi kidogo kujua hasa unachozungumzia. Umesema wazi ya kuwa umenunua gesi ya LPG na wakati huo huo unashangaa manufaa ya gesi ya visimani (ya Songo songo). Hivyo ni vitu viwili tofauti. LPG ni aina ya gesi mgandamizo ambayo inashindiliwa kutokana na mchakato wa kupata mazao ya mafuta ghafi. Kwa maana hiyo, inaagizwa toka nje ya nchi na makampuni. Ni bidhaa kama zingine zinazoagizwa nje. Gesi ya Songo songo inaitwa natural gas, hii kwa sasa mostly inatumika kwenye uzalishaji wa umeme na kuendesha mitambo viwandani.Kwenye kampeni tuliambiwaga kuwa wachina wamepewa gesi kwa kipindi cha miaka kumi kwa majaribio, so bado wapo LAB wanafanya majaribio
Mkuu gas tunayotumia majumbani kupikia siyo ya mtwara ile ni imported ni butane.Habari wadau!
Hivi gesi inayotoka mtwara ni yetu wa Tanzania au serikali ilitudanyanya..? Nimestaajabu baada ya uwepo na uzalishaji wa gesi kuongezeka nilitaraji bei itashuka..
Ila imekua viceversa, yaani bei imepanda kutoka 42,000= hadi 52,000= ..!! Daah huku sasa kukamuana damu aiseee
Dah...elimu bure bado Sana.. .Ukizungumzia hili suala la gesi unaweza kudhani gesi tunatoa Malawi kumbe ni pale Mtwara.
Gas ya kwenye mitungi haitoki mtwaraUkizungumzia hili suala la gesi unaweza kudhani gesi tunatoa Malawi kumbe ni pale Mtwara.
Hii gesi ya kwenye mitungi haitoki mtwara, nyingi inatoka iran. Tulionayo sisi ni gesi asilia.Ukizungumzia hili suala la gesi unaweza kudhani gesi tunatoa Malawi kumbe ni pale Mtwara.
Dah...elimu bure bado Sana.. .
Nafikiri utakuwa umekosea kidogo, huo mtungi ni wa kilo 15, hakuna package ya 30kg, hata ingekuwepo usingepata Kwa 50,000/-. Yaani jamaa wamepandisha mno, huku Wana mazingira wakisema tumieni gesi sasa hii itafanikiwa kweli?Jana nmenunua mtungi wa kilo 30 kwa sh 50,000....hatari hii
mbona waziri alisema siyo hiyo mkuu, nilisikia kuna baadhi inatoka kenyaUkizungumzia hili suala la gesi unaweza kudhani gesi tunatoa Malawi kumbe ni pale Mtwara.