Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 575
- 2,559
Hizo bandari ni za ukoo wenu?Tunataka bandari zetu
Kwahiyo unaunga mkono udhalimu?!hizo bandari ni za ukoo wenu?
Waliofurahia ni hawa 👇👇👇 usijumuishe na wengine!Sabato Njema
Mshangao wangu ni kuwa, ilipowekwa watu walifurahia, imefutwa watu wale wale wamefurahia
Hao ndio watanganyikaSabato Njema
Mshangao wangu ni kuwa, ilipowekwa watu walifurahia, imefutwa watu wale wale wamefurahia
Tofauti na Mwigulu, sidhani kama kuna mtanganyika alifurahia tozo!Hao ndio watanganyika