Tozo miamala ya simu hazijafutwa, tuache upotoshaji

Naomba tuweke vizuri

Tozo zilizo futwa ni P2P , yaani pale unapo mtumia fedha mwingine kwa njia ya simu.

Lakini kwenye Cashout / Kutoa TOZO bado zipo palepale

Hivyo wanao tutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa , waache upotoshaji.
Duh! Hii nchi ina laana
 
😂😂😂😂Mwenyew ata Dak mbili haijaisha nimepata ujumbe wa tigo wanitafutia nini mimi mnanidanganya kwer mie eti tozo hakuna sasa wajulishe wateja wako kua hakuna makato tna
 
Airtel waliondoa tozo kwa miamala ya kuanzia 1,000-29,999

Basi nikiwa na sikiliza vipindi vya michezo EFM walikuwa wanapiga promo kubwa kuwa Airtel ni mtandao unaojali wateja wake sana, sasa furahia kufanya miamala bila tozo.

Airtel hakuna tozo! hakuna tozo!

Sasa wiki mbili zilizopita nikiwa nasikiliza redio nikawa sisikii kabisa hilo tangazo katikati ya kipindi.

Nikajisemea tu "huwenda wameshajua kuwa wateja wao wamejua kuwa hakuna tozo hivyo wameamua kuliondoa."

Sasa siku zilizofuata naenda kwa Wakala natoa kihela changu, kabla sijaweka namba ya siri nakuta neno "jumla ya tozo ni...."

So saizi wamezirejesha kimya kimya tozo zipo kwa kila muamala. Ila kwanini na hii wasiifanyie promo tena kuwajuza wateja wao kuwa Tozo zimerudi! Tozo zimerudi!
 
Naomba tuweke vizuri

Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.

Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.
Nikweli ndugu
 
Lipa kwa mpesa vat imepandishwa sasa ni 36.7% ya makato
 
Airtel waliondoa tozo kwa miamala ya kuanzia 1,000-29,999

Basi nikiwa na sikiliza vipindi vya michezo EFM walikuwa wanapiga promo kubwa kwenye kuwa Airtel ni mtandao unaojali wateja wake sasa furahia kufanya miamala bila tozo.

Airtel hakuna tozo! hakuna tozo!

Sasa wiki mbili zilizopita nikiwa nasikiliza redio nikawa sisikii kabisa hilo tangazo katikati ya kipindi.

Nikajisemea tu huwenda wameshajua kuwa wateja wao wamejua kuwa hakuna tozo hivyo wameamua kuliondoa.

Sasa siku zilizofuata naenda kwa Wakala natoa kihela changu, kabla sijaweka namba ya siri nakuta neno "jumla ya tozo ni...."

So saizi wamezirejesha kimya kimya tozo zipo kwa kila muamala ila kwanini na hii wasiifanyie promo tena kuwajuza wateja wao kuwa Tozo zimerudi! Tozo zimerudi!
Kwa airtel ilikuwa promo ua huduma zao na ilikuwa na ukomo
 
Tozo ya serikali ipo hata sh.100 ina tozo,, Mungu anawaona
 
Airtel waliondoa tozo kwa miamala ya kuanzia 1,000-29,999

Basi nikiwa na sikiliza vipindi vya michezo EFM walikuwa wanapiga promo kubwa kwenye kuwa Airtel ni mtandao unaojali wateja wake sasa furahia kufanya miamala bila tozo.

Airtel hakuna tozo! hakuna tozo!

Sasa wiki mbili zilizopita nikiwa nasikiliza redio nikawa sisikii kabisa hilo tangazo katikati ya kipindi.

Nikajisemea tu huwenda wameshajua kuwa wateja wao wamejua kuwa hakuna tozo hivyo wameamua kuliondoa.

Sasa siku zilizofuata naenda kwa Wakala natoa kihela changu, kabla sijaweka namba ya siri nakuta neno "jumla ya tozo ni...."

So saizi wamezirejesha kimya kimya tozo zipo kwa kila muamala ila kwanini na hii wasiifanyie promo tena kuwajuza wateja wao kuwa Tozo zimerudi! Tozo zimerudi!
😂😂😂😂
 
Naomba tuweke vizuri

Tozo zilizofutwa ni P2P, yaani pale unapomtumia fedha mwingine kwa njia ya simu, lakini kwenye Cashout/Kutoa Tozo bado zipo palepale.

Hivyo wanaotutumia vipeperushi sijui tozo zote zimefutwa, waache upotoshaji.
Saizi kuna tozo ya cement
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom