Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
๐๐๐๐๐๐๐๐Ukute alishafanya mazoezi ya kuzomewa hivyo haoni aibu
๐๐๐๐๐๐๐๐Ukute alishafanya mazoezi ya kuzomewa hivyo haoni aibu
Kabisa. Huu ushenzi tukiuendeleza utakuja kututokea puani. Tatizo viongozi wetu ndio wanaruhusu huu upuuzi kisa wao CCMWatanzania tushikamane katika hili. Tuweke Simba na Yanga pembeni tusimame kama taifa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.๐๐๐๐Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
Aisee wewe ni akili kubwa hata Mimi nashangaa ilikuwa fulsa hiyoWapinzani tanzania ni upuuzi wanashindwa kutumia mikusanyiko hiyo nao kufanya siasa kama ccm inafanya siasa kwenye mikusanyiko ya mipira ilitakiwa wapinzani kuitisha hata maandamano kupitia mipira yani mnawaambia watu waende kama mashabiki kisha wanakinukisha kama mlivyo tangaza kuwa siku ya uchaguzi itakuwa siku ya maandamano
Una pointi. Usikilizwe.Hao tusiishie kuwazomea tu, tuanze kampeni ya kuwamaliza mmoja mmoja tuondoe hiki kizazi kichafu cha shetani.
Na ninaona kabisa leo CCM imejipanga haswa ili kuzima soo la Simba.Kabisa. Huu ushenzi tukiuendeleza utakuja kututokea puani. Tatizo viongozi wetu ndio wanaruhusu huu upuuzi kisa wao CCM
Anyway, wao waruhusu sisi tuzomeee
Ally Kamwe ameshatoa taarifa ya kuwepo na zawadi kubwa ya viongozi kwa mashabiki. Na zawadi hiyo bila shaka ni ya kuanza kwa ujenzi wa uwanja eneo la Jangwani, baada ya Wizara ya ardhi kuridhia kuwaongezea Yanga eneo la ziada!Na ninaona kabisa leo CCM imejipanga haswa ili kuzima soo la Simba.
Katika hili awe Hersi, GSM au yeyote yule hatuwezi kuwa nae pamoja.
Hawa chawa walitakiwa wapigwe pin ya kutosha kuchangia chochote humu jukwaani kwa siku zote 90 za kufungiwa jamii forums.Nje ya mada hivi jamani huyu tahilatahila, choicevariable,na mwasha- mbwa hawakomenti humu au wamebadili id
Uhakika, tunasubiri wapigiane simu tu.AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko
Teeth Msigwa kashafika kwaa Mkapa akiwa na jezi yake ya kijani (mboga mboga) najua lazma apewe kipazaKwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na kuwasikilizisha sauti za Bosi wake kwenye kipindi hiki cha kampeni zilizojaa hila, uonevu, ukandamizaji, mauaji, utekaji, unyanyasaji, rushwa, ubabaishaji, na kila aina ya ujinga! AZOMEWE yeye na huyo Bosi wake.
Kwanza huyu jamaa siyo rafiki wa wapenda maendeleo na mabadiliko ya kweli ndani ya hii nchi. Na ikumbukwe ni mwanachama wa jamii forums! Lakini ndiyo mtu huyu huyu aliyetoa hadharani kauli ya dharau kwa Mkurugenzi wa jamii forums Comrade Maxence Melo, pale tu alipotoa taarifa ya kuvamiwa kwa ofisi za jamii forums wiki chache zilizopita. Na bila shaka pia amehusika kwa namna moja au nyingine kufungiwa kwa huu mtandao muhimu kwa jamii, kwa sababu tu ya ubinafsi wao.
Ndugu zangu wapenda michezo, kamwe msikubali wanasiasa kuja kutuharibia furaha yetu. Hawa watu wanatusababishia sana msongo wa mawazo. Na michezo ndiyo inayo tusaidia kupunguza. Sasa wakija kutuvamia na huko, maana yake tutakosa kwa kukimbilia. Na ikitokea na Injinia Hersi naye akaamua kubeba hilo jukumu kwa sababu ya kujipendekeza kwake; na yeye AZOMEWE vizuri kabisa.
MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.
๐๐๐๐๐Na anaonekana amejipanga vilivyo kutukera wananchi ๐
Wana Yanga, wametuzodoa sisi tuliomkaushia Msigwa juzi!Na anaonekana amejipanga vilivyo kutukera wananchi![]()