100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,788
- 30,948
Huyu jamaa kadamnasi imemkataa vibaya sana
Hayo mambo ya kina Mussolini na aldof Hitler.nina wasiwasi wale waliomulikwa na camera wakiwa wanarusha mikono, watatekwa...
maana msigwa aliwaambia waimbe mama mama mama...
wakakaidi kwa kurusha mikono...
nawahurumia.
kosa lao inaweza kuwa kurusha mikono wakati wameambiwa waimbe mamaa maama maama...Hayo mambo ya kina Mussolini na aldof Hitler.
KOSA lao ni nini??!!!
Sasa ikiwa ivyo itakua TZ imegeuka ZAIREEEE ya Mobutu sseseko.kosa lao inaweza kuwa kurusha mikono wakati wameambiwa waimbe mamaa maama maama...
kama yule aliyechana picha ya samia hajulikani alipo!
vipi kwa hawa wanaopinga hadharani kuimba, maama maama maama...
ni ishara tosha huyu ndiye rais aliyewahi kuchukiwa zaidi toka Tanganyika inapata uhuru..Huyu jamaa kadamnasi imemkataa vibaya sana
Exactly 💯 kaka😀😀😃😃ni ishara tosha huyu ndiye rais aliyewahi kuchukiwa zaidi toka Takanyika inapata uhuru..
tumeshafika huko mkuu, bado kuwapita tu...Sasa ikiwa ivyo itakua TZ imegeuka ZAIREEEE ya Mobutu sseseko.
Au kama enziii za KAMUZU BANDA 🙌🙌🙌
Hatutaki ujinga watu tunaenda kufurahia burudani ya mpira wanaleta ujingaWatakachofanya watawaandaa chawa baadhi kwenye angle mbali mbal za uwanja na kisha kuongea na cameraman awe anamulika kule walipo...
Na sidhani kama huyo jamaa atarudia tena...
Lakini naunga mkono hoja ikitokea wakaleta siasa uwanjani ni kuzomea tu....
Mtu mnaelewa fika kwamba rais huyu hakubaliki, halafu unakwenda uwanjani na kisimu chako unalazimisha watu waimbe mamaa! mamaa!... hivi ulikuwa unategemea nini?
Yanga wasituangushe....
Itakuwa unyama sana.Kesho inatakiwa kwenda na mabango ya FREE TUNDU LISU. NO REFORM NO ELECTION
Kabisa mkuu, hiko ndo watakachoandaa, kuweka watu wao na cameraman kumulika walipo.Watakachofanya watawaandaa chawa baadhi kwenye angle mbali mbal za uwanja na kisha kuongea na cameraman awe anamulika kule walipo...
Na sidhani kama huyo jamaa atarudia tena...
Lakini naunga mkono hoja ikitokea wakaleta siasa uwanjani ni kuzomea tu....
Mtu mnaelewa fika kwamba rais huyu hakubaliki, halafu unakwenda uwanjani na kisimu chako unalazimisha watu waimbe mamaa! mamaa!... hivi ulikuwa unategemea nini?
Yanga wasituangushe....